BLACK MOVEMENT
JF-Expert Member
- Mar 11, 2020
- 4,548
- 11,901
Nitarudia hili mala trilion , Tatizo la Tanzania sio kukosa upinzani imara au watu imara au Chama imara bali ni kukosa raia walio tiyali kupigania nchi, kumejaa keybord worrior tu.
Vijana wa Kenya wana set maandamano Kesho wao wenyewe kwenye socia media na wanaingia road wenyewe, bila mwanasiasa, hawategemea mwanasiasa pigia msatari neno HAWATEGEMEI MWANASIASA, huku ni anatafutwa mtu wa kufanya hio kazi kwa niaba yetu sisi keybord worrior wa hili Taifa.
Huku lawama anaangushiwa mtu mmoja wa upinzani kwamba ndio sababu ya watu kutekwa, ndio sababu ya vijana kukosa ajira.
Au tunatafuta kivuli cha kujificha na kuanza kutoa lawama kwa Mtu kana kwamba kazaliwa na Mama yake Mzazi aje kutusemea sisi tukiwa tumelala au tukiwa busy na Yanga na Simba.
Yaani Bongo sasa tuko chimbo tunatafuta mtu atakaye kuwa anatuandamania ilihali sisi tukiwa busy na story za Yanga na Simba hivyo tupate mtu sahihi wa kutuandamania na ikifika saa 2 jioni tunakaa kwwnye tv kuangalia huyo mtu alivyo tuandamania.
Narudia tena na tena hata aje Yesu, Tanzania harakari hatuwezi, hatuwezi na ni kujifariji kuzania kuna mtu atafanya kazi ya maandamano kwa niaba.
Vijana wa Kenya Maandamano ni kama.maji wasipo yanywa watayaogea, wako tiyari wakati wowote ule hata saa 8 za usiku.

... kama jini halipandi msitumie bange kilipandisha kwa nguvu!