bongo dili
JF-Expert Member
- Feb 13, 2015
- 12,350
- 25,180
Hivi pesa huwa inatafutwa au inakuja yenyewe
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na ndio wanaingiza pesaBAHATI MBAYA HAWA WAJINGA NDIO HUWA TUNAWASIKILIZA NA KUWAFUATILIA ZAIDI.
TANZANIA YANGU.
mbeba tofariKwani huyo Uwoya ndio nani huko Daslam?
okTitle za wazazi sio mtoto wa street
Kwani huyo Uwoya ndio nani huko Daslam?
Kwaiyo anasambaza gridi ya taifa[emoji28]Hiyo mbona kitambo sana kuna uzi huku ngoja nita ku tag. Tena aliyemuunguza kaunguza 70% ya mastaa bongo.
Huyu anasali vipi na mikucha namna hiyo?
kwao hawana njaa huyu baba mama wana eraWenye majivuno ya hivyo
Asilimia kubwa Ni malimbukeni walotokea maisha duni Sana uko chimbuko lao
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kwa kweliii.Wanatafutaje, maana wanalia bongo movie hazilipi ila kutwa wanashinda Dubai
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Msanii anakaduka ka nguo Sinza au Kino kapo location ya ajabu ila kapaki RANGE ROVER ukithamisha hakafiki 25M
Watupe siri na dada zetu waende
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mganga wa mama K ni kibokoo, sio kwa kumvuruga boss wa kidimbwi FC. woiiiiihHakuna watu waenda kwa waganga kusafisha nyota kama hao watu,wanajifanya hawaijui manzese,mbagala na chanika ila huko ndo Kuna machimbo ya waganga wao kuwasafisha nyota hao
Nimechekaa hadi kupaliwaaa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hapana, huwa naliona jina tu kwenye mtandao.
Ni nani, namaanisha, Mwana siasa, mfanya biashara, msanii, mcheza sinema au ni muuza mwili maarufu? Kama Wema Sepetu.
Wazazi wake wana maisha ya kawaida sana wapo hapo Jogoo
KweliAfu nasikia alishaungua? Aisee....ila ni kweli money is everything
Huyu ana nyege za uzeeniDada humjui huyu?
WanafikiNdio wasiwadanganye watoto wa watu
Ngoja ..yule tajiri wa madini uwoya kamtema?!!!maaana enzi zile anawapa kula kina Aristoteee alikua na huyoo mwamba tajiri wa madini ..karudi Kwa Salah[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mganga wa mama K ni kibokoo, sio kwa kumvuruga boss wa kidimbwi FC. woiiiiih