Kesho Irene Uwoya akihitaji mchango wa matibabu utatoa sh ngapi?

Kesho Irene Uwoya akihitaji mchango wa matibabu utatoa sh ngapi?

Ngoja ..yule tajiri wa madini uwoya kamtema?!!!maaana enzi zile anawapa kula kina Aristoteee alikua na huyoo mwamba tajiri wa madini ..karudi Kwa Salah
Wanaroga hao balaaa ..Hawa wasanii wasikutishe dadaaa...nna stori Moja naogopa kuitoa hapa ila mhhh
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mama K hawezi acha kuji upgrade kila leo, ataishi vipi mjini. Achaa achezee pesa, uzuri kwao wanajiweza weza hata akikosa madanga anatulizanaa kwao.
 
Wanatafutaje, maana wanalia bongo movie hazilipi ila kutwa wanashinda Dubai
🤣🤣🤣🤣🤣

Msanii anakaduka ka nguo Sinza au Kino kapo location ya ajabu ila kapaki RANGE ROVER ukithamisha hakafiki 25M

Watupe siri na dada zetu waende
Huyu dada sidhani kama anaigiza tena. Hatumuoni kwenye movies, atakuwa kapata kazi nyingine.
Kwenye bongo movies kwa sasa hayupo
 
Hela za Kuhongwaaa nazo ni helaaa[emoji1][emoji1][emoji1] Siku akitembeza bakuli kimeumana usishangaee maana ofisi ni mwili wakeeee...Akiwa hoi nani ataosuguaaa sasaa hata bure???
 
BAHATI MBAYA HAWA WAJINGA NDIO HUWA TUNAWASIKILIZA NA KUWAFUATILIA ZAIDI.

TANZANIA YANGU.
Kuna mahali Tanzania tulikosea sana sana. Hlafu kwa upande mwingine umalaya unalipa sana Bongo. Unaona wanawake wanavyopishana kwenda kufanyiwa surgery ili wawe na maumbo, matiti na sura nzuri? Inatisha! Halafu siku hizi hakuna tena aibu. Unasikia mwanamke anasema kabisa haya matiti ikifika mwaka ujao nakwenda kuyabadilisha yasimame.
 
Irene ni mpuuzi mmoja mtafuta kiki ,hawa ndiyo bank akiwa na milioni 20 anajiona ni tajiri....Kuna kipindi nilikuta njiani anatembelea benz jeusi bovu lina mikelele kibao ,nadhani aliuziwa na shemeji yake Cynthia Masasi.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mama K hawezi acha kuji upgrade kila leo, ataishi vipi mjini. Achaa achezee pesa, uzuri kwao wanajiweza weza hata akikosa madanga anatulizanaa kwao.
Kwao Pesa ya kawaida Mzee kastaafu ila Irene siku Hizi ana kibri sana
 
Back
Top Bottom