Uzalendo wa Kitanzania
JF-Expert Member
- Mar 8, 2020
- 3,585
- 8,106
Ww unataka kuishi milele???!!!Haya majinga yanataka kuleta MWISHO WA DUNIA
Hipi kuhusu china yenye ushirikiano wa damu kabisa na urusi.iran yenyewe kama sio vikwazo ingekuwa 4 au 5 kiuchumi dunianiNchi nyingi zinazoshirikiana na urusi zijawai kuwa na maendeleo zaidi ya kutumia nguvu kwenye madaraka tu.
Unazungumzia maendeleo ya takwimu za maneno.Embu fika urusi ukaone watu wakeHipi kuhusu china yenye ushirikiano wa damu kabisa na urusi.iran yenyewe kama sio vikwazo ingekuwa 4 au 5 kiuchumi duniani
Takwimu za maneno?acha kutufanya wajinga unataka kusema wananchi wake wanamaisha magum auUnazungumzia maendeleo ya takwimu za maneno.Embu fika urusi ukaone watu wake
Mazoezi ni Kwa afya ya mwili hata madoctor wanasisitiza IvoHaya majinga yanataka kuleta MWISHO WA DUNIA
Wairani hawajakoma tuuu. Wanatakiwa wajifunze kutengeneza ndege kwanza kabla hawajaaanza visa na Israel. Lasivyo wataangamia sanaHipi kuhusu china yenye ushirikiano wa damu kabisa na urusi.iran yenyewe kama sio vikwazo ingekuwa 4 au 5 kiuchumi duniani
We nenda ujionee hata manzese urusi kupoT
Takwimu za maneno?acha kutufanya wajinga unataka kusema wananchi wake wanamaisha magum au
Ni wapi hakuna manzese duniani?We nenda ujionee hata manzese urusi kupo
Kabla ya kuhangaika na mambo ya Russia π·πΊUnazungumzia maendeleo ya takwimu za maneno.Embu fika urusi ukaone watu wake
Na nyinyi mnaoshirikiana na UK π¬π§ USA πΊπΈ France π«π· Germany π©πͺNchi nyingi zinazoshirikiana na urusi zijawai kuwa na maendeleo zaidi ya kutumia nguvu kwenye madaraka tu.
Hakuna mwisho wa dunia ukifa wewe wanakuja wengineHaya majinga yanataka kuleta MWISHO WA DUNIA
Urusi ilishawai kudaiwa na kampuni ya soda pepsi na mwisho wa siku urusi iliwapa vifaa vya kivita kama nyambizi,vifaru na mizinga kulipa deniNa nyinyi mnaoshirikiana na UK π¬π§ USA πΊπΈ France π«π· Germany π©πͺ
Hebu tueleze mna maendeleo gani? Kuwazidi washirika wa Russia π·πΊ