Kesho lazima Argentina apewe penalti dhidi ya Ufaransa

Kama mnavyojua Argentina wamecheza michezo 6 ya kombe la Dunia mpaka sasa, wamepewa penalti 5.

Yaani almost kila mchezo wanepewa penalti. Kesho dhidi ya Ufaransa wanapewa penalti nyingine
Because they attack
 
Because they attack

Argentina hii haina best attacking kuliko timu zote katika history ya world cup.

Kuna timu kibao zimeshaenda world cup na attacking force za kufa mtu.. wanashambulia mwanzo mwisho.

Spain ya kina xavi na iniesta walikuwa wana mpira wao muda wote wanapiga pasj buku. Wakija golini kwako hawaondokiii ni nusu uwanja tu.. ila bado hawakuwa hawakufikisha penalty hata 2 za kupewa mashindano yote.

Brazili imeshaenda world cup ikiwa na ronaldo di lima, ronaldinho, kaka, wakiwa katika form.. ila bado hawakupewa penalty hata 2.

Hata argentina yenyewe miaka ya nyuma ilishawai kwenda world cup ikiwa na messi wa moto.. sio huyu mzee.. na hapo aguero wa moto, di maria wa motoo, higuain wa moto.. ila bado hawakupewa penalty hata 3.

Argentina hii ndio imevunja rekodi ya kombe la dunia.. timu moja kupewa penalty 5 katika mechi 6 tofauti mfululizo haijawai tokea
 
Argentina hii haina best attacking kuliko timu zote katika history ya world cup.

Kuna timu kibao zimeshaenda world cup na attack force za kufa mtu.. wanashambulia mwanzo mwisho.

Spain ya kina xavi na iniesta walikuwa wana mpira wao muda wote wanapiga pasj buku. Wakija golini kwako hawaondokiii ni nusu uwanja tu.. ila bado hawakuwa hawakufikisha penalty hata 2 za kupewa mashindano yote.

Brazili imeshaenda world cup ikiwa na ronaldo di lima, ronaldinho, kaka, wakiwa katika form.. ila bado hawakupewa penalty hata 2.

Hata argentina yenyewe miaka ya nyuma ilishawai kwenda world cup ikiwa na messi wa moto.. sio huyu mzee.. na hapo aguero wa moto, di maria wa motoo, higuain wa moto.. ila bado hawakupewa penalty hata 3.

Argentina hii ndio imevunja rekodi ya kombe la dunia.. timu moja kupewa penalty 5 katika mechi 6 tofauti mfululizo haijawai tokea
Stupid fish

Akina aguero, Messi, higuain eon nothing because of individualities

This team is compact and gelled

Hate them , but don’t disrespect them

Argentina are not a counter attacking team; but they did it against croaria
Kupata penalties ni art, city, Barca, lfc get a lot of penalties because of their style of attack … xavi na iniesta ni middles wa anao anao aka tikitaka, walikua hawapokei tackles, they passed the ball before being touched

We better give Argentina credit
 
Kama mnavyojua Argentina wamecheza michezo 6 ya kombe la Dunia mpaka sasa, wamepewa penalti 5.

Yaani almost kila mchezo wanepewa penalti. Kesho dhidi ya Ufaransa wanapewa penalti nyingine
Suala sio idadi ya penati, hata zingekuwa buku!! Suala ni je, ni penati halali au la. Hoja zako zingejikita hapo. Vinginevyo, ni porojo tu!
 
Kama mnavyojua Argentina wamecheza michezo 6 ya kombe la Dunia mpaka sasa, wamepewa penalti 5.

Yaani almost kila mchezo wanepewa penalti. Kesho dhidi ya Ufaransa wanapewa penalti nyingine
B31C088E-3EF8-4EC1-9A6D-93DED5C2DF2C.jpeg
 
Tushapeleka bahasha kwanini valane asimkwatue messi kusudi ili penalty ipatikane maana kwake muamala umesoma toka juzi, pia refa ameahidiwa maisha bora akitoa penalty mbili kesho.

Nyie mtaloweza kufanya mpaka sasa ni kuamua kuungana na sisi wa Argentina wa ikwiriri au mbaki upande wa maumivu.
 
Back
Top Bottom