Argentina hii haina best attacking kuliko timu zote katika history ya world cup.
Kuna timu kibao zimeshaenda world cup na attack force za kufa mtu.. wanashambulia mwanzo mwisho.
Spain ya kina xavi na iniesta walikuwa wana mpira wao muda wote wanapiga pasj buku. Wakija golini kwako hawaondokiii ni nusu uwanja tu.. ila bado hawakuwa hawakufikisha penalty hata 2 za kupewa mashindano yote.
Brazili imeshaenda world cup ikiwa na ronaldo di lima, ronaldinho, kaka, wakiwa katika form.. ila bado hawakupewa penalty hata 2.
Hata argentina yenyewe miaka ya nyuma ilishawai kwenda world cup ikiwa na messi wa moto.. sio huyu mzee.. na hapo aguero wa moto, di maria wa motoo, higuain wa moto.. ila bado hawakupewa penalty hata 3.
Argentina hii ndio imevunja rekodi ya kombe la dunia.. timu moja kupewa penalty 5 katika mechi 6 tofauti mfululizo haijawai tokea