Johnny Sack
JF-Expert Member
- Jan 21, 2017
- 8,984
- 19,288
Because they attackKama mnavyojua Argentina wamecheza michezo 6 ya kombe la Dunia mpaka sasa, wamepewa penalti 5.
Yaani almost kila mchezo wanepewa penalti. Kesho dhidi ya Ufaransa wanapewa penalti nyingine
Naunga mkonoKama mnavyojua Argentina wamecheza michezo 6 ya kombe la Dunia mpaka sasa, wamepewa penalti 5.
Yaani almost kila mchezo wanepewa penalti. Kesho dhidi ya Ufaransa wanapewa penalti nyingine
Because they attack
Stupid fishArgentina hii haina best attacking kuliko timu zote katika history ya world cup.
Kuna timu kibao zimeshaenda world cup na attack force za kufa mtu.. wanashambulia mwanzo mwisho.
Spain ya kina xavi na iniesta walikuwa wana mpira wao muda wote wanapiga pasj buku. Wakija golini kwako hawaondokiii ni nusu uwanja tu.. ila bado hawakuwa hawakufikisha penalty hata 2 za kupewa mashindano yote.
Brazili imeshaenda world cup ikiwa na ronaldo di lima, ronaldinho, kaka, wakiwa katika form.. ila bado hawakupewa penalty hata 2.
Hata argentina yenyewe miaka ya nyuma ilishawai kwenda world cup ikiwa na messi wa moto.. sio huyu mzee.. na hapo aguero wa moto, di maria wa motoo, higuain wa moto.. ila bado hawakupewa penalty hata 3.
Argentina hii ndio imevunja rekodi ya kombe la dunia.. timu moja kupewa penalty 5 katika mechi 6 tofauti mfululizo haijawai tokea
Suala sio idadi ya penati, hata zingekuwa buku!! Suala ni je, ni penati halali au la. Hoja zako zingejikita hapo. Vinginevyo, ni porojo tu!Kama mnavyojua Argentina wamecheza michezo 6 ya kombe la Dunia mpaka sasa, wamepewa penalti 5.
Yaani almost kila mchezo wanepewa penalti. Kesho dhidi ya Ufaransa wanapewa penalti nyingine
Kama mnavyojua Argentina wamecheza michezo 6 ya kombe la Dunia mpaka sasa, wamepewa penalti 5.
Yaani almost kila mchezo wanepewa penalti. Kesho dhidi ya Ufaransa wanapewa penalti nyingine