Kesho Lissu asipotulia tena yatamkuta yale yaliomkuta 2019 mbele ya Masilingi

Time saver tu hilo jamaa halina lolote. Akiwa na Kenyatta anacheza ngoma ya Kenyatta. Kwenye kesi ya Raila dhidi ya Kenyatta kupinga uchaguzi, PLO alikuwa lead counsel kwa Kenyatta...
PLO NI MGANGA NJAA KAMA WAGANGA NJAA WENGINE
 
Anakuwaje shujaa wakat katupiga kwenye ndege
Shujaa hapiki taarifa Za uongo
Sijui nan alipeleka taarifa Za faida kwa mzee
Uyo Ndo mswahili pengne mzee anasingziwa labda
 
Ambazo nyingi sio za maana
 
Kesho Lissu yupo Straight talk Africa na gwiji la kupinga ufisadi Afrika PLO Lumumba, mada ni legacy aliyoiacha shujaa wa Afrika, JPM. Tuungane...
Kweli tunatofautiana ku -grasp materials. Hivi kweli kwa tuliosikia kipindi Masilingi aliongea chochote? Nahisi mtoa hoja hukuwa msikivu au English ilikupità mbali
 
Beberu yuko kaburini kwa kufa na covid,mwizi mwenzake kakonko yuko ndichi

Yuko kaburini ndio lango la kuingia mbinguni kwa ambao hawatakutwa na ile siku ya mwisho ya unyakuo wakiwa hai. Kakonko upotoshwaji wa habari zake tayari ni tatizo na doa kwa serikali ya Mama. Sijui ni nani yuko nyuma ya uchafuaji huu wa Mh Rais?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…