Kesho Lissu asipotulia tena yatamkuta yale yaliomkuta 2019 mbele ya Masilingi

Magu ana ushujaa gani Africa labda chato
 
Ni utaahira kumpa mtu ambae hana uwezo wowote wa kihoja mbele za wasomi ushujaa wa Afrika.

Kwa kigezo kipi yaani Magu anaweza kuwa shujaa?
Unamfahamu vema huyu mzee au unajaribu tu kufurahisha nafsi yako?!
 
Tundulissu huwa hanaga msingi wa hoja ila anamafungu ya lawama. Ndio maana ukimkutanisha meza moja na mtu mwenye hoja za msingi na za ukweli utaona anaanza kumount hasira na kuongea sentence za ufupi na za kukatisha hoja.

Tundulissu ana hasira za yaliyomkuta ila hakuna machungu na taifa wala nn.
 
Na wabeligiji unadhani wana uchungu sana na Tanzania!? 🙂
Huyo PLO ni muafrika kwanza halafu ndio ukenya.

Baba yeke ameuawa na hao wabeligiji kwa kosa la kuwapigania waafrika.. kesho tutajua kama ni mkenya au mkongo

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Lissu alirushwarushwa kwa hoja, akakanyagwa kwa sheria na vifungu vyake kisha akafundishwa uzalendo na balozi msomi Masilingi
MATAGA na uongo ni kama tu uji na mgonjwa..

Masilingi ni mweupe kichwani na YAi halipandi anawezaje kuelemea Mh. Lissu?!!!

Kwa kifupi masilingi hakufua dafu kwa Lissu
 

Utakuwa unamwongelea mtu mwingine labda.

Isije kuwa unamwongelea mimacho mkuu?

Tundiyo Lissu? Fuatilia alipokuwa bungeni.
 
Mgonjwa alikufa tukazika juzi.
The bad thing to you JPM still alive in our hearts...we praise his work we use his vision to reach his desire seeing our country ascending high in economy.
He is the walking dead. Chunguza u will see.

Huwezi mlinganisha na huyo dead walking. Hana legacy hata ya jimboni kwake ...shule za msingi zilimshinda kuziweka kwenye hali nzuri then ndo umpe nchi.? Mtu anawaza ushoga na kutetea mabepari wanyonyaji kwa kivuli cha uanasheria uchwara. Pathetic
 

Lissu kaondoka Tanzania akisindikzwa na mabalozi wa US, UK na ubelgiji akiwindwa na kuuwawa na watu wenye ngozi nyeusi.

Ben, Azory, Mawazo nk wameuwawa na watu weusi.

Hoja si uzungu wala weusi.

Buthelezi alikuwa mwafrika.

Mkoloni ni mkoloni tu. Uzoefu unaonyesha akiwa ni mkoloni mwendo, usiombe!
 
Watu hawa wana tofautiana sana; Kielimu, kimaadili na ufahamu pia. Lissu kasoma sheria na amekariri vifungu vya sheria. Nje ya taaluma yake ni mbumbumbu. Hana mifano ya kidunia na kifalsafa.

Lumumba ni msomi wa sheria pia, lakini ni mwanazuoni, ni thinker asiyetegemea yaliyoandikwa vitabuni au kukariri vifungu vya sheria. Ni mwenye mifano ya kifalsafa na kuifahamu elimu jamii. Kwa ujumla anajua mengi nje ya taaluma yake Ndo maana naona kama mjadala huu hautakuwa na maana sana!
 
haahaha aisee nyie wajane huwa ni ngumu sana kuamini kuwa mpendwa wenu kafa mpaka mmalize Eda ndiyo akili inakubali.
NB:
Mjane ukimaliza Eda umuombe mtoto wako wa darasa la 3 akupige brash kidogo kwenye somo la Uraiya ndipo utakapojua kuwa ni majukumu ya serikali kuweka mazingira bora ya shule zote za serikali na tangu tupate uhuru ni CCM ipo madarakani.
 
Akili ndogo hufikiria kuishia miguuni ...unadhani serikali inaanza na nani kama sio wewe!? Yaani unakaa kuwaza kunadubwana linaitwa serikali litakufanyia kila kitu we umekalisha kende zako kulisubilia... Uraia unaoungelea wewe ndio hujausoma anza kujifunza kuhusu wajibu wa raia....empty box
 
Kwani Lissu ana uchungu gani na Tanzania zaidi ya kututukana na kuichafua nchi mbele ya uso wa dunia?
Mbona illipofika uchaguzi mkuu alitinga na kumbinya Jiwe kisawa sawa mpka akawa anakatishakatisha mikutano na ukweli siku28 za Lisu zilitosha kuwaelza wtz safari ijayo atakuja kam Tshekedi aliyo ingia Kongo nahao Jeshi la police kuingilia uchaguzi wanasubri mwongozo mdogo sanaaaa usio na suruti kama Mabeyo alivyo watolea Katiba iliyo rihusu Mama Samia kuwa Raisi

Police kunashida gani kusoma katiba mambo yaende salama au ndiyo yale Polisi kutia hofu wananchhttps://youtu.be/gPjqsKYfK7ki
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…