Sakwe
JF-Expert Member
- Jul 31, 2022
- 246
- 883
Habari za usiku wakuu wa kazi,
Poleni na msiba wa mama JPM hakika hakuna aliyeumbiwa kukaa milele kwenye hii dunia.
Wakuu Twenzetu kwenye mada tajwa hapo juu nimekuwa kwenye kibarua kwa takribani miaka mitatu sasa .
Mshahara ni mdogo japo unasaidia kujikimu ila katika hali isiyo ya kawaida nilipatana na jamaa hapa kazini nimuite brother maana kanipita kidogo ki umri.
Urafiki wetu umepelekea huyo bwana kujua mpaka mambo yangu mengi ya siri jambo nisilokuwa na jua kumbe yeye na mabosi wana ukaribu mzito.
Jamaa akiongea hana kaba 😂 kazungumza yote mazuri na mabaya yangu kazini ki ufupi mkeka wangu wote jamaa wanao.
Wakuu kuweni makini na watu mnao waita marafiki hasa makazini mtaumbuka vibaya sana hama kwa hakika.
Enyi majobless naja kwenu mnipokee mikono miwili mtaani wala msinitenge.
Wenu
Sakwe bin sakwe
Binadamu mashaka 🙏