Kesho mambo yakienda vizuri nitafukuzwa kazi chanzo ni marafiki

Kesho mambo yakienda vizuri nitafukuzwa kazi chanzo ni marafiki

Habari za usiku wakuu wa kazi,

Poleni na msiba wa mama JPM hakika hakuna aliyeumbiwa kukaa milele kwenye hii dunia .
Wakuu Twenzetu kwenye mada tajwa hapo juu nimekuwa kwenye kibarua kwa takribani miaka mitatu sasa .

Mshahara ni mdogo japo unasaidia kujikimu ila katika hali isiyo ya kawaida nilipatana na jamaa hapa kazini nimuite brother maana kanipita kidogo ki umri.

Urafiki wetu umepelekea huyo bwana k

Wakuu kuweni makini na watu mnao waita marafiki hasa makazini mtaumbuka vibaya sana hama kwa hakika.
Wewe ndo uwe makini,nani alikuambia kazini Kuna Rafiki,kazini hakuna Rafiki Kuna mfanyakazi mwenzio tu.
 
Back
Top Bottom