Pulchra Animo
Platinum Member
- Jun 16, 2016
- 8,620
- 15,134
Eti ββ¦kesho mambo yakienda vizuri nitafukuzwa kaziβ¦βHabari za usiku wakuu wa kazi,
Poleni na msiba wa mama JPM hakika hakuna aliyeumbiwa kukaa milele kwenye hii dunia .
Wakuu Twenzetu kwenye mada tajwa hapo juu nimekuwa kwenye kibarua kwa takribani miaka mitatu sasa .
Mshahara ni mdogo japo unasaidia kujikimu ila katika hali isiyo ya kawaida nilipatana na jamaa hapa kazini nimuite brother maana kanipita kidogo ki umri.
Urafiki wetu umepelekea huyo bwana kujua mpaka mambo yangu mengi ya siri jambo nisilokuwa na jua kumbe yeye na mabosi wana ukaribu mzito.
Jamaa akiongea hana kaba π kazungumza yote mazuri na mabaya yangu kazini ki ufupi mkeka wangu wote jamaa wanao.
Wakuu kuweni makini na watu mnao waita marafiki hasa makazini mtaumbuka vibaya sana hama kwa hakika.
Enyi majobless naja kwenu mnipokee mikono miwili mtaani wala msinitenge.
Wenu
Sakwe bin sakwe
Binadamu mashaka π
Shukran.Kaka heshima yako mimi ni mdau wake tuu wala sina udugu au ubini na mtu huyo shukran
hatari mkuu, sema kesi kidogo iko na mambo mengi, jumlisha wahusika wengi kubwa zaidi upotevu ulisha fidiwa tangu umetokeaDuuh mkuu, pole sana.
Ndiyo alivyosema mwenyewe kuwa yakienda vizuri anafukuzwa kaziπ€π€Tunachanganyana sasa yakienda vizuri ndio amesema linamkuta jambo... Kwahiyo inabidi iwe inverse
Ulikosea mwenyewe. Marafiki wa kazini waishie kazini tu, don't take them into your personal life.Habari za usiku wakuu wa kazi,
Poleni na msiba wa mama JPM hakika hakuna aliyeumbiwa kukaa milele kwenye hii dunia .
Wakuu Twenzetu kwenye mada tajwa hapo juu nimekuwa kwenye kibarua kwa takribani miaka mitatu sasa .
Mshahara ni mdogo japo unasaidia kujikimu ila katika hali isiyo ya kawaida nilipatana na jamaa hapa kazini nimuite brother maana kanipita kidogo ki umri.
Urafiki wetu umepelekea huyo bwana kujua mpaka mambo yangu mengi ya siri jambo nisilokuwa na jua kumbe yeye na mabosi wana ukaribu mzito.
Jamaa akiongea hana kaba π kazungumza yote mazuri na mabaya yangu kazini ki ufupi mkeka wangu wote jamaa wanao.
Wakuu kuweni makini na watu mnao waita marafiki hasa makazini mtaumbuka vibaya sana hama kwa hakika.
Enyi majobless naja kwenu mnipokee mikono miwili mtaani wala msinitenge.
Wenu
Sakwe bin sakwe
Binadamu mashaka π
Huyo naye alichukulia personal kwakweli ila ndio maisha ka mkubwa πhatari mkuu, sema kesi kidogo iko na mambo mengi, jumlisha wahusika wengi kubwa zaidi upotevu ulisha fidiwa tangu umetokea
alafu muhusika ( kampuni) alisha achana nayo maana alisha fidiwa hasara sema sasa njagu kila mwaka anataka kuifufua
Gentleman,Habari za usiku wakuu wa kazi,
Poleni na msiba wa mama JPM hakika hakuna aliyeumbiwa kukaa milele kwenye hii dunia .
Wakuu Twenzetu kwenye mada tajwa hapo juu nimekuwa kwenye kibarua kwa takribani miaka mitatu sasa .
Mshahara ni mdogo japo unasaidia kujikimu ila katika hali isiyo ya kawaida nilipatana na jamaa hapa kazini nimuite brother maana kanipita kidogo ki umri.
Urafiki wetu umepelekea huyo bwana kujua mpaka mambo yangu mengi ya siri jambo nisilokuwa na jua kumbe yeye na mabosi wana ukaribu mzito.
Jamaa akiongea hana kaba π kazungumza yote mazuri na mabaya yangu kazini ki ufupi mkeka wangu wote jamaa wanao.
Wakuu kuweni makini na watu mnao waita marafiki hasa makazini mtaumbuka vibaya sana hama kwa hakika.
Enyi majobless naja kwenu mnipokee mikono miwili mtaani wala msinitenge.
Wenu
Sakwe bin sakwe
Binadamu mashaka π
Labda yakienda vizuri ,ni hajafa usingizini.Eti ββ¦kesho mambo yakienda vizuri nitafukuzwa kaziβ¦β
Yakienda vibaya hufukuzwi kazi? Jomba una maskhara sana!
Halafu ukute story za upande wake amekudanganya mambo ya sirini yabaki kuwa yako na Mungu wako,hakuna siri iliyoachwa salama baada ya ku shareHabari za usiku wakuu wa kazi,
Poleni na msiba wa mama JPM hakika hakuna aliyeumbiwa kukaa milele kwenye hii dunia .
Wakuu Twenzetu kwenye mada tajwa hapo juu nimekuwa kwenye kibarua kwa takribani miaka mitatu sasa .
Mshahara ni mdogo japo unasaidia kujikimu ila katika hali isiyo ya kawaida nilipatana na jamaa hapa kazini nimuite brother maana kanipita kidogo ki umri.
Urafiki wetu umepelekea huyo bwana kujua mpaka mambo yangu mengi ya siri jambo nisilokuwa na jua kumbe yeye na mabosi wana ukaribu mzito.
Jamaa akiongea hana kaba π kazungumza yote mazuri na mabaya yangu kazini ki ufupi mkeka wangu wote jamaa wanao.
Wakuu kuweni makini na watu mnao waita marafiki hasa makazini mtaumbuka vibaya sana hama kwa hakika.
Enyi majobless naja kwenu mnipokee mikono miwili mtaani wala msinitenge.
Wenu
Sakwe bin sakwe
Binadamu mashaka π
Unamkaribisha mwenzio shambani wakati we unafanya wash wash . Unaoshea hela za sisiemu shambani.Gentleman,
hiyo inafaa kua fursa muhimu sana kwako na kwa wadau wengine wa JF, kwanza kujirekebisha na kujisahihisha, lakini pia kua makini zaidi kutoa siri za ufalme wako kwa wengine ili wakati mwingine, yasikupate mabaya na makubwa zaidi ya jaribu hili unalopitia sasa.
Kutoa siri zako kwa watu au hata rafiki zako, ni kufichua udhaifu na nguvu za ufalme wako kwa watesi wako. Unawapa urahisi wa kukuamgusha kirahisi.
Karibu shambani,
kilimo ni sure bet kwa 100%,
uskae kinyonge π
hiyo ndio nini ndugu mdau?πUnamkaribisha mwenzio shambani wakati we unafanya wash wash . Unaoshea hela za sisiemu shambani.