Naibu waziri mkuu na waziri wa Nishati anatuambia nchi Ina umeme wa ziada, Cha ajabu kukatika kwa umeme kupo pale pale. Huku Arusha wilaya ya Arumeru tangia usiku mpaka sahizi hakuna umeme Yuko gizani shida ni Nini? Wakati huo KUANZIA kesho Marais wa nchi za Africa wanaanza mkutano wa siku 2 kesho kujifunza kwetu. Wanakuja kujifunza Nini? Huko DSM watakakofikia hawaukatiki?