Kesho Msimbazi kilio. Watamtimua Mangungu na Mo Dewji. Simba hachomoki kipigo

Gobole Lenye Risasi

JF-Expert Member
Joined
Oct 31, 2014
Posts
11,519
Reaction score
23,693
Nipo hapa mipango yao yote tumeikamata na wazee wamefanyia kazi. Maji yaliyotumika kumwoshea mzee wetu inna illah laana irajuuni yameenda kusafisha uwanja.

Simba akishinda nipigwe ban ya mwezi mzima. NINA UHAKIKA WA KUJIPIGIA SIMBA KAMA KAWAIDA YETU MIAKA YOTE HII. TUTAKAVYO SISI.

NDO MAANA TUMEKUWA KIMYA KIMYA HATUNA KELELE.... Kwenda kata mkia wa Simba na kunyoa sharubu. Simba atakuwa huyo? Huyo ni fisi maji tu mbwa koko.

Kesho kifigo kama kawaida. Elewa neno kifigo.
 
Kwa hiyo mnatutangazia kuwa mmeloga? Kama ni hivyo Nigeria angekuwa anakuwa Bingwa wa AFCON na World Cup kila wakati. Mpira ni sayansi Mkuu, Uchawi ni saikolojia tu. Hata kama Yanga akishinda ni juhudi za wachezaji na ubora wao wala sio uchawi na Simba vile vile.
 
moja ya kauli ya kinafki katika jamii ya watanganyika wanojihusisha au kufuatilia michezo...
 
Kwa hiyo mnatutangazia kuwa mmeloga? Kama ni hivyo Nigeria angekuwa anakuwa Bingwa wa AFCON na World Cup kila wakati. Mpira ni sayansi Mkuu, Uchawi ni saikolojia tu. Hata kama Yanga akishinda ni juhudi za wachezaji na ubora wao wala sio uchawi na Simba vile vile.

Kalia na maneno yako hujui kitu bwana mdogo. Mikakati miaka inaenda 6 sasa kwenye ligi mkijitahidi ni draw. Siku zote ni kifigo tu
 
Back
Top Bottom