Moisemusajiografii
JF-Expert Member
- Nov 3, 2013
- 55,705
- 104,843
Utopwise wanakufa.Kesho hata refa angekuwa Ally kamwe na engineer Hesri,,
Simba 2-sisi yanga 0..
Hatuna timu ya kuifunga simba..
Utopwise wanakufa.Kesho hata refa angekuwa Ally kamwe na engineer Hesri,,
Simba 2-sisi yanga 0..
Hatuna timu ya kuifunga simba..
Mkuu,acha kuota mindoto yako ya ajabu.😂😂😂Yanga ndiyo timu pekee ya mpira wa miguu nchini Tanzania
Asante Kaka. Unayejua kila kitu.Kalia na maneno yako hujui kitu bwana mdogo. Mikakati miaka inaenda 6 sasa kwenye ligi mkijitahidi ni draw. Siku zote ni kifigo tu
Mimi ni yanga mwenzio,ila hatuna timu ya kuifunga simba..Nimekaa hapa. Hizo ndoto zako utajinyea kitandani.
Huwezi kuwa Yanga wewe. Kwa sasa sisi tunaongoza ligi na magoli. Sasa nakushangaa hao mikia wametuzidi nini?Mimi ni yanga mwenzio,ila hatuna timu ya kuifunga simba..
Ingekuwa mashindano ya ulozi tungeshinda.
Wametuzidi kwenye kucheza na kushinda mechi za kwl na sio maigizoHuwezi kuwa Yanga wewe. Kwa sasa sisi tunaongiza ligi na magoli. Sasa nakushangaa hao mikia wametuzidi nini?
Sisi tuna matches gani za maigizo?Wametuzidi kwenye kucheza na kushinda mechi za kwl na sio maigizo
Kwetu tupo midume tupu labda tukutane sinza kitambaa uchague malaya mm nitalipaMawili
1. Nipigwe ban ya mwezi mzima
2. Nimwoe mtu kutoka kwenu kama adhabu
Hongera Yanga in advance.Nipo hapa mipango yao yote tumeikamata na wazee wamefanyia kazi. Maji yaliyotumika kumwoshea mzee wetu inna illah laana irajuuni yameenda kusafisha uwanja.
Simba akishinda nipigwe ban ya mwezi mzima. NINA UHAKIKA WA KUJIPIGIA SIMBA KAMA KAWAIDA YETU MIAKA YOTE HII. TUTAKAVYO SISI.
NDO MAANA TUMEKUWA KIMYA KIMYA HATUNA KELELE.... Kwenda kata mkia wa Simba na kunyoa sharubu. Simba atakuwa huyo? Huyo ni fisi maji tu mbwa koko.
Kesho kifigo kama kawaida. Elewa neno kifigo.
Ni humu tuNikivyoona R Jigga katangazwa baaasi nikajua shughuli imeisha
Nyingi tu,,zile za matawi yenu singida , Pamba jiji nkSisi tuna matches gani za maigizo?
Wewe tabiri zako zote hazitimii bora usitabiri tuNipo hapa mipango yao yote tumeikamata na wazee wamefanyia kazi. Maji yaliyotumika kumwoshea mzee wetu inna illah laana irajuuni yameenda kusafisha uwanja.
Simba akishinda nipigwe ban ya mwezi mzima. NINA UHAKIKA WA KUJIPIGIA SIMBA KAMA KAWAIDA YETU MIAKA YOTE HII. TUTAKAVYO SISI.
NDO MAANA TUMEKUWA KIMYA KIMYA HATUNA KELELE.... Kwenda kata mkia wa Simba na kunyoa sharubu. Simba atakuwa huyo? Huyo ni fisi maji tu mbwa koko.
Kesho kifigo kama kawaida. Elewa neno kifigo.
Kwetu tupo midume tupu labda tukutane sinza kitambaa uchague malaya mm nitalipa
Wewe tabiri zako zote hazitimii bora usitabiri tu
Mtani chunga mdomo...aibu utaona wewe....Wa kitambaa cheupe wazuri? Wasafi? Wewe kwenu hamna hata mtoto wa mjomba au shangazi? Au binti mwenye makebo makubwa au wastani? Tuwekeane dau MIMI NASEMA YANGA TUNATAFUNA NYAMA HADI MKIA WAKE.
Sio Arajiga tu, hataRefa ni Arajiga, Yanga shindeni mnavyotaka.
Sisi tumeshazoea sahivi.
Kwa mara ya kwanza hamjaitaja Dodoma jiji. MnahangaikaNyingi tu,,zile za matawi yenu singida , Pamba jiji nk
Ujumbe huu natamani niufanyie laminationKesho hata refa angekuwa Ally kamwe na engineer Hesri,,
Simba 2-sisi yanga 0..
Hatuna timu ya kuifunga simba..