Gobole Lenye Risasi
JF-Expert Member
- Oct 31, 2014
- 11,519
- 23,693
- Thread starter
- #41
Nipatie mtani wangu. Mpange kabisa. Nijilie nyama hizo. Si ana nyama nyama? Mpange mweke sawa. Unalipia show yote si ndiyo? Mi ni kwenda ichapa tu nikisheherekea ushindi wangu. Na muulize yeye ni team gani ili nijue nimchape Simba au Yanga mwenzangu.Mtani chunga mdomo...aibu utaona wewe....
Kuna sister hapa kitaa nikupa namba zake wakati huo nishampanga kila kitu