Gobole Lenye Risasi
JF-Expert Member
- Oct 31, 2014
- 11,519
- 23,693
Kwa hiyo mnatutangazia kuwa mmeloga? Kama ni hivyo Nigeria angekuwa anakuwa Bingwa wa AFCON na World Cup kila wakati. Mpira ni sayansi Mkuu, Uchawi ni saikolojia tu. Hata kama Yanga akishinda ni juhudi za wachezaji na ubora wao wala sio uchawi na Simba vile vile.Nipo hapa mipango yao yote tumeikamata na wazee wamefanyia kazi. Maji yaliyotumika kumwoshea mzee wetu inna illah laana irajuuni yameenda kusafisha uwanja.
Simba akishinda nipigwe ban ya mwezi mzima. NINA UHAKIKA WA KUJIPIGIA SIMBA KAMA KAWAIDA YETU MIAKA YOTE HII. TUTAKAVYO SISI.
NDO MAANA TUMEKUWA KIMYA KIMYA HATUNA KELELE.... Kwenda kata mkia wa Simba na kunyoa sharubu. Simba atakuwa huyo? Huyo ni fisi maji tu mbwa koko.
Kesho kifigo kama kawaida. Elewa neno kifigo.
Nipo hapa mipango yao yote tumeikamata na wazee wamefanyia kazi. Maji yaliyotumika kumwoshea mzee wetu inna illah laana irajuuni yameenda kusafisha uwanja.
Simba akishinda nipigwe ban ya mwezi mzima. NINA UHAKIKA WA KUJIPIGIA SIMBA KAMA KAWAIDA YETU MIAKA YOTE HII. TUTAKAVYO SISI.
NDO MAANA TUMEKUWA KIMYA KIMYA HATUNA KELELE.... Kwenda kata mkia wa Simba na kunyoa sharubu. Simba atakuwa huyo? Huyo ni fisi maji tu mbwa koko.
Kesho kifigo kama kawaida. Elewa neno kifigo.
Mbona hapo kwenye kifigo ni kama vile ulitaka kuweka "r"
MawiliUna ahidi nini simba akishinda?
Nikivyoona R Jigga katangazwa baaasi nikajua shughuli imeisha
Jamaa amejaaliwa makosa ya kibinadamu Simba inapocheza na Utopwise!Nikivyoona R Jigga katangazwa baaasi nikajua shughuli imeisha
Kwa hiyo mnatutangazia kuwa mmeloga? Kama ni hivyo Nigeria angekuwa anakuwa Bingwa wa AFCON na World Cup kila wakati. Mpira ni sayansi Mkuu, Uchawi ni saikolojia tu. Hata kama Yanga akishinda ni juhudi za wachezaji na ubora wao wala sio uchawi na Simba vile vile.
Jamaa amejaaliwa makosa ya kibinadamu Simba inapocheza na Utopwise!
Kesho hata refa angekuwa Ally kamwe na engineer Hesri,,
Simba 2-sisi yanga 0..
Hatuna timu ya kuifunga simba..
Kwa hiyo tusiseme ukweli? Arajiga ana makosa ya kibinadamu kila akiiona Simba SC.🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 Nyie walalamishi sana. Hata akija chezesha malaika mnafungwa tu