Kesho Msimbazi kilio. Watamtimua Mangungu na Mo Dewji. Simba hachomoki kipigo

Hongera Yanga in advance.
Unatupandishaa weee, sijui uwezo wa kutushusha unao, kesho hiyo ban inakuhusu.
 
Wewe tabiri zako zote hazitimii bora usitabiri tu
 
Kwetu tupo midume tupu labda tukutane sinza kitambaa uchague malaya mm nitalipa

Wa kitambaa cheupe wazuri? Wasafi? Wewe kwenu hamna hata mtoto wa mjomba au shangazi? Au binti mwenye makebo makubwa au wastani? Tuwekeane dau MIMI NASEMA YANGA TUNATAFUNA NYAMA HADI MKIA WAKE.
 
Wa kitambaa cheupe wazuri? Wasafi? Wewe kwenu hamna hata mtoto wa mjomba au shangazi? Au binti mwenye makebo makubwa au wastani? Tuwekeane dau MIMI NASEMA YANGA TUNATAFUNA NYAMA HADI MKIA WAKE.
Mtani chunga mdomo...aibu utaona wewe....
Kuna sister hapa kitaa nikupa namba zake wakati huo nishampanga kila kitu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…