Kesho Msimbazi kilio. Watamtimua Mangungu na Mo Dewji. Simba hachomoki kipigo

Mtani chunga mdomo...aibu utaona wewe....
Kuna sister hapa kitaa nikupa namba zake wakati huo nishampanga kila kitu
Nipatie mtani wangu. Mpange kabisa. Nijilie nyama hizo. Si ana nyama nyama? Mpange mweke sawa. Unalipia show yote si ndiyo? Mi ni kwenda ichapa tu nikisheherekea ushindi wangu. Na muulize yeye ni team gani ili nijue nimchape Simba au Yanga mwenzangu.
 
Wewe jamaa ukitabiri mechiza Yanga basi kipigo achana na utabiri tu
 
Vipi Mkuu matokeo ni ngapi ngapi? Jitahidi kuheshimu wenzako.
 
Kesho ipi mkuu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…