Lucas Mwashambwa
JF-Expert Member
- Jul 28, 2022
- 28,722
- 20,610
Ndugu zangu Watanzania,
Siku ya kesho ya Jumamosi natarajia kushiriki katika Maandamano Makubwa Mkoa Wa songwe ya Kumpongeza RAIS wetu mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha watanzania Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan. Kwa kuteuliwa kupeperusha bendera ya Urais katika Uchaguzi Mkuu utakaofanyika Mwishoni Mwa Mwaka huu.
Ambapo Maandamano hayo yanatarajiwa kufanyika katika Wilaya ya Mbozi na kuhitimishwa katika Mji Mdogo wa Mlowo .ambako kutafanyika Mkutano Mkubwa sana wa hadhara ambao unatarajiwa kuhudhuriwa na watu wengi sana.
Soma Pia Wajumbe Mkutano Mkuu CCM wapitisha Rais Samia, Dkt. Mwinyi kugombea Urais 2025
Ambapo ni mahali hapo kutatolewa hotuba mbalimbali kutoka kwa viongozi wetu mbalimbali wa ndani ya mkoa wa songwe.kuelezea mambo makubwa na ya ajabu aliyoyafanya Rais wetu Mpendwa ndani ya muda mfupi ambayo yamekuwa kama Miujiza na maajabu ya Musa..
Tayari watu mbalimbali kutoka maeneo mbalimbali wameanza kumiminika kusogea eneo la tukio na wengine wamekuwa wakisafiri na kunyeshewa na mvua.
lakini wanasema wapo tayari kuloa na kunyeshewa na Mvua lakini wasikose kushiriki katika maandamano hayo yenye lengo la kuunga na kuupongeza Mkutano Mkuu Maalum ambao ulimpitisha kwa kauli Moja Mama yetu jasiri muongoza njia na Simba wa Nyika Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan kugombea Urais.
Kwa hiyo kesho wana jukwaa mtaniona live nikiwa nimependeza na sare za CCM huku nikiwa ni kijani tupu kuanzia Damuni hadi nje na kubeba picha ya Mama Samia. Kesho Msikosee kufuatilia maandamano hayo ambapo wengi mtaniona kwa mara ya kwanza na kufurahi mpaka mbubujikwe na machozi ya furaha.
Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.