Shadow7
JF-Expert Member
- Sep 28, 2020
- 24,606
- 39,289
Wanadai unashindia shati la CCM
Cc Intelligent businessman
Cc Intelligent businessman
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unaumia ukiwa wapi huko ndugu yangu kusiko na vidonge vya kutuliza maumivu.Hata unavyoongea tu, unaonyesha huna mapenzi ya kweli na CHAMA CHA MAPINDUZI, ni maslahi tu ndio yanakufanya uandike hayo! Nafsi yako inakusuta kabisa!! Na 😁😁😁
Ndiye huyu anayelia kila siku kwa kububujikwa na machozi ????Picha yako hii hapa we chawa, ilikuwa mwaka gani huu?
View attachment 3212956
Kwani hapa Nchini kuna shati lenye hadhi na thamani kubwa kupita shati la CCM?Wanadai unashindia shati la CCM
Cc Intelligent businessman
Wala huna sababu ya kuweka picha za watu wa huko mitaani kwenu. Wewe subiri kunifahamu hapo siku ya kesho katika maandamano Makubwa yatakayo tikisa nchi mpaka huko Zambia.Picha yako hii hapa we chawa, ilikuwa mwaka gani huu?
View attachment 3212956
Kuna siku nilikuona Mbozi sikuamini kama wewe ndio unaandikaga pumba hizi , nilijiuliza sana mtetezi wa CCM mitandaoni unasimamia uchaguzi kuna haki hapo ?Ndugu zangu Watanzania,
Siku ya kesho ya Jumamosi natarajia kushiriki katika Maandamano Makubwa Mkoa Wa songwe ya Kumpongeza RAIS wetu mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha watanzania Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan. Kwa kuteuliwa kupeperusha bendera ya Urais katika Uchaguzi Mkuu utakaofanyika Mwishoni Mwa Mwaka huu.
Ambapo Maandamano hayo yanatarajiwa kufanyika katika Wilaya ya Mbozi na kuhitimishwa katika Mji Mdogo wa Mlowo .ambako kutafanyika Mkutano Mkubwa sana wa hadhara ambao unatarajiwa kuhudhuriwa na watu wengi sana.
Soma Pia Wajumbe Mkutano Mkuu CCM wapitisha Rais Samia, Dkt. Mwinyi kugombea Urais 2025
Ambapo ni mahali hapo kutatolewa hotuba mbalimbali kutoka kwa viongozi wetu mbalimbali wa ndani ya mkoa wa songwe.kuelezea mambo makubwa na ya ajabu aliyoyafanya Rais wetu Mpendwa ndani ya muda mfupi ambayo yamekuwa kama Miujiza na maajabu ya Musa..
Tayari watu mbalimbali kutoka maeneo mbalimbali wameanza kumiminika kusogea eneo la tukio na wengine wamekuwa wakisafiri na kunyeshewa na mvua.
lakini wanasema wapo tayari kuloa na kunyeshewa na Mvua lakini wasikose kushiriki katika maandamano hayo yenye lengo la kuunga na kuupongeza Mkutano Mkuu Maalum ambao ulimpitisha kwa kauli Moja Mama yetu jasiri muongoza njia na Simba wa Nyika Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan kugombea Urais.
Kwa hiyo kesho wana jukwaa mtaniona live nikiwa nimependeza na sare za CCM huku nikiwa ni kijani tupu kuanzia Damuni hadi nje na kubeba picha ya Mama Samia. Kesho Msikosee kufuatilia maandamano hayo ambapo wengi mtaniona kwa mara ya kwanza na kufurahi mpaka mbubujikwe na machozi ya furaha.
Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Mimi sinywi na wala siyo mlevi.ACHA ULEVI KAKA
View attachment 3212962
Mimi siyo Mwezi au jua wa kuonekana kila mahali na kwa kila mtu.Kuna siku nilikuona Mbozi sikuamini kama wewe ndio unaandikaga pumba hizi , nilijiuliza sana mtetezi wa CCM mitandaoni unasimamia uchaguzi kuna haki hapo ?
Bwana Mwashambwa naona hata kwenye mkeka uliotolewa jina lako halimo kabisaNdugu zangu Watanzania,
Siku ya kesho ya Jumamosi natarajia kushiriki katika Maandamano Makubwa Mkoa Wa songwe ya Kumpongeza RAIS wetu mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha watanzania Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan. Kwa kuteuliwa kupeperusha bendera ya Urais katika Uchaguzi Mkuu utakaofanyika Mwishoni Mwa Mwaka huu.
Ambapo Maandamano hayo yanatarajiwa kufanyika katika Wilaya ya Mbozi na kuhitimishwa katika Mji Mdogo wa Mlowo .ambako kutafanyika Mkutano Mkubwa sana wa hadhara ambao unatarajiwa kuhudhuriwa na watu wengi sana.
Soma Pia Wajumbe Mkutano Mkuu CCM wapitisha Rais Samia, Dkt. Mwinyi kugombea Urais 2025
Ambapo ni mahali hapo kutatolewa hotuba mbalimbali kutoka kwa viongozi wetu mbalimbali wa ndani ya mkoa wa songwe.kuelezea mambo makubwa na ya ajabu aliyoyafanya Rais wetu Mpendwa ndani ya muda mfupi ambayo yamekuwa kama Miujiza na maajabu ya Musa..
Tayari watu mbalimbali kutoka maeneo mbalimbali wameanza kumiminika kusogea eneo la tukio na wengine wamekuwa wakisafiri na kunyeshewa na mvua.
lakini wanasema wapo tayari kuloa na kunyeshewa na Mvua lakini wasikose kushiriki katika maandamano hayo yenye lengo la kuunga na kuupongeza Mkutano Mkuu Maalum ambao ulimpitisha kwa kauli Moja Mama yetu jasiri muongoza njia na Simba wa Nyika Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan kugombea Urais.
Kwa hiyo kesho wana jukwaa mtaniona live nikiwa nimependeza na sare za CCM huku nikiwa ni kijani tupu kuanzia Damuni hadi nje na kubeba picha ya Mama Samia. Kesho Msikosee kufuatilia maandamano hayo ambapo wengi mtaniona kwa mara ya kwanza na kufurahi mpaka mbubujikwe na machozi ya furaha.
Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
😂pamoja kakaMimi sinywi na wala siyo mlevi.
Tafadhali naomba nijuze, nini maana ya Chawa?Unaumia ukiwa wapi huko ndugu yangu kusiko na vidonge vya kutuliza maumivu.
Wewe utaangalia yule ambaye watu wanang'ang'ania kupiga naye picha.We ni chawa tu, acha kujipa umuhimu usiokuwa nao.
Haya watu watakujuaje hali wote mtakuwa mmevalia sare zenu za kijani mpo kama nzi wa chooni?! 🤣
Ndo huyo kiongoz anasubiri teuzNdiye huyu anayelia kila siku kwa kububujikwa na machozi ????
Mimi wala sijipi umuhimu. Ila wewe fuatilia maandamano ya kesho uone namna watu wanavyo nithamini na kukipendaunajipa umuhimu? 😀🤣
Ameshateuliwa tayari.kilichobakia ni kwenda kuchukua Fomu tu muda ukifika wa tumeHivi ameshateuliwa ? Au ni kwamba walitakiwa waende kuangalia namna ili kanuni zisivunjwe sana na kuhalalisha uharamia 😏
Kipindi hicho bado ni mshamba hujui hata kama kuna mtandao wa Jamiiforums mbona unajikataa Comrade? 🤣🤣🤣Wala huna sababu ya kuweka picha za watu wa huko mitaani kwenu. Wewe subiri kunifahamu hapo siku ya kesho katika maandamano Makubwa yatakayo tikisa nchi mpaka huko Zambia.