Lucas Mwashambwa
JF-Expert Member
- Jul 28, 2022
- 28,722
- 20,610
- Thread starter
- #41
Naona presha inakupanda kwa kasi kubwa sana.Mimi ndiyo mambo yangu yanazidi kuninyookea tofauti na wewe unayeishi kwa matumaini ya kuteuliwa boya wewe.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Naona presha inakupanda kwa kasi kubwa sana.Mimi ndiyo mambo yangu yanazidi kuninyookea tofauti na wewe unayeishi kwa matumaini ya kuteuliwa boya wewe.
Mkuu mbona unafahamika tu vyema masta. Na kuna thread humu ina namba yako ya simu ya voda na imesajiliwa hivyo hivyo Lucas Mwashambwa, basi wadau tukakutres kule x, LinkedIn na FB Basi tulivyokuona tukasema, aaah kumbe familia...😃😃Ndugu zangu Watanzania,
Siku ya kesho ya Jumamosi natarajia kushiriki katika Maandamano Makubwa Mkoa Wa songwe ya Kumpongeza RAIS wetu mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha watanzania Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan. Kwa kuteuliwa kupeperusha bendera ya Urais katika Uchaguzi Mkuu utakaofanyika Mwishoni Mwa Mwaka huu.
Ambapo Maandamano hayo yanatarajiwa kufanyika katika Wilaya ya Mbozi na kuhitimishwa katika Mji Mdogo wa Mlowo .ambako kutafanyika Mkutano Mkubwa sana wa hadhara ambao unatarajiwa kuhudhuriwa na watu wengi sana.
Soma Pia Wajumbe Mkutano Mkuu CCM wapitisha Rais Samia, Dkt. Mwinyi kugombea Urais 2025
Ambapo ni mahali hapo kutatolewa hotuba mbalimbali kutoka kwa viongozi wetu mbalimbali wa ndani ya mkoa wa songwe.kuelezea mambo makubwa na ya ajabu aliyoyafanya Rais wetu Mpendwa ndani ya muda mfupi ambayo yamekuwa kama Miujiza na maajabu ya Musa..
Tayari watu mbalimbali kutoka maeneo mbalimbali wameanza kumiminika kusogea eneo la tukio na wengine wamekuwa wakisafiri na kunyeshewa na mvua.
lakini wanasema wapo tayari kuloa na kunyeshewa na Mvua lakini wasikose kushiriki katika maandamano hayo yenye lengo la kuunga na kuupongeza Mkutano Mkuu Maalum ambao ulimpitisha kwa kauli Moja Mama yetu jasiri muongoza njia na Simba wa Nyika Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan kugombea Urais.
Kwa hiyo kesho wana jukwaa mtaniona live nikiwa nimependeza na sare za CCM huku nikiwa ni kijani tupu kuanzia Damuni hadi nje na kubeba picha ya Mama Samia. Kesho Msikosee kufuatilia maandamano hayo ambapo wengi mtaniona kwa mara ya kwanza na kufurahi mpaka mbubujikwe na machozi ya furaha.
Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
CCM hajawahi kuwa na wakati wala kipindi kigumu. CCM ni taasisi imara sanaCcm inapita kwenye kipindi kigumu sanaa
Hakuna unakoweza ikuta picha yangu. Mimi naishi mbele ya wakati.Mkuu mbona unafahamika tu vyema masta. Na kuna thread humu ina namba yako ya simu ya voda na imesajiliwa hivyo hivyo Lucas Mwashambwa, basi wadau tukakutres kule x, LinkedIn na FB Basi tulivyokuona tukasema, aaah kumbe familia...😃😃
Ingekua JF rules and regulations zinaruhusu disclosure ya information za mtu au picha yake, basi masta ningeweka yako humu masta😃😃Hakuna unakoweza ikuta picha yangu. Mimi naishi mbele ya wakati.
🤣 🤣 🤣Picha yako hii hapa we chawa, ilikuwa mwaka gani huu?
View attachment 3212956
A shithole citizenNdugu zangu Watanzania,
Siku ya kesho ya Jumamosi natarajia kushiriki katika Maandamano Makubwa Mkoa Wa songwe ya Kumpongeza RAIS wetu mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha watanzania Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan. Kwa kuteuliwa kupeperusha bendera ya Urais katika Uchaguzi Mkuu utakaofanyika Mwishoni Mwa Mwaka huu.
Ambapo Maandamano hayo yanatarajiwa kufanyika katika Wilaya ya Mbozi na kuhitimishwa katika Mji Mdogo wa Mlowo .ambako kutafanyika Mkutano Mkubwa sana wa hadhara ambao unatarajiwa kuhudhuriwa na watu wengi sana.
Soma Pia Wajumbe Mkutano Mkuu CCM wapitisha Rais Samia, Dkt. Mwinyi kugombea Urais 2025
Ambapo ni mahali hapo kutatolewa hotuba mbalimbali kutoka kwa viongozi wetu mbalimbali wa ndani ya mkoa wa songwe.kuelezea mambo makubwa na ya ajabu aliyoyafanya Rais wetu Mpendwa ndani ya muda mfupi ambayo yamekuwa kama Miujiza na maajabu ya Musa..
Tayari watu mbalimbali kutoka maeneo mbalimbali wameanza kumiminika kusogea eneo la tukio na wengine wamekuwa wakisafiri na kunyeshewa na mvua.
lakini wanasema wapo tayari kuloa na kunyeshewa na Mvua lakini wasikose kushiriki katika maandamano hayo yenye lengo la kuunga na kuupongeza Mkutano Mkuu Maalum ambao ulimpitisha kwa kauli Moja Mama yetu jasiri muongoza njia na Simba wa Nyika Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan kugombea Urais.
Kwa hiyo kesho wana jukwaa mtaniona live nikiwa nimependeza na sare za CCM huku nikiwa ni kijani tupu kuanzia Damuni hadi nje na kubeba picha ya Mama Samia. Kesho Msikosee kufuatilia maandamano hayo ambapo wengi mtaniona kwa mara ya kwanza na kufurahi mpaka mbubujikwe na machozi ya furaha.
Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Mgombea kakataliwa kuanzia ndani ya chama; 😁😁😁 huyo mzanzibari ni kama fuko la mavi haiwezekani kumnadi popoteCCM hajawahi kuwa na wakati wala kipindi kigumu. CCM ni taasisi imara sana
🤣 🤣 🤣Wewe utaangalia yule ambaye watu wanang'ang'ania kupiga naye picha.
Hebu sema tena tusikie mkuu. Kwamba una ujanja na utaalam wa kuficha picha yako dunia ya leo????????Hakuna unakoweza ikuta picha yangu. Mimi naishi mbele ya wakati.
NDIOHebu sema tena tusikie mkuu. Kwamba una ujanja na utaalam wa kuficha picha yako dunia ya leo????????
Mama ni kama Maji usipoyanywa utayaoga tuuuMgombea kakataliwa kuanzia ndani ya chama; 😁😁😁 huyo mzanzibari ni kama fuko la mavi haiwezekani kumnadi popote
Atavaa tie ya pinkTutakujuaje sasa na nyote mtakua mmevaa kijani huku mmebeba mabango
Mda utaongea tuwe na subira😁😁😁😁Mama ni kama Maji usipoyanywa utayaoga tuuu