Kesho Mtaniona Live na kunifahamu nitakaposhiriki Kwenye maandamano makubwa Mkoa wa Songwe Ya kumpongeza Rais Samia kwa kuteuliwa Kugombea Urais

Hata unavyoongea tu, unaonyesha huna mapenzi ya kweli na CHAMA CHA MAPINDUZI, ni maslahi tu ndio yanakufanya uandike hayo! Nafsi yako inakusuta kabisa!! Na 😁😁😁
Unaumia ukiwa wapi huko ndugu yangu kusiko na vidonge vya kutuliza maumivu.
 
Kuna siku nilikuona Mbozi sikuamini kama wewe ndio unaandikaga pumba hizi , nilijiuliza sana mtetezi wa CCM mitandaoni unasimamia uchaguzi kuna haki hapo ?
 
Kuna siku nilikuona Mbozi sikuamini kama wewe ndio unaandikaga pumba hizi , nilijiuliza sana mtetezi wa CCM mitandaoni unasimamia uchaguzi kuna haki hapo ?
Mimi siyo Mwezi au jua wa kuonekana kila mahali na kwa kila mtu.
 
Bwana Mwash
Bwana Mwashambwa naona hata kwenye mkeka uliotolewa jina lako halimo kabisa
 
Hivi ameshateuliwa ? Au ni kwamba walitakiwa waende kuangalia namna ili kanuni zisivunjwe sana na kuhalalisha uharamia 😏
 
Hivi ameshateuliwa ? Au ni kwamba walitakiwa waende kuangalia namna ili kanuni zisivunjwe sana na kuhalalisha uharamia 😏
Ameshateuliwa tayari.kilichobakia ni kwenda kuchukua Fomu tu muda ukifika wa tume
 
Wala huna sababu ya kuweka picha za watu wa huko mitaani kwenu. Wewe subiri kunifahamu hapo siku ya kesho katika maandamano Makubwa yatakayo tikisa nchi mpaka huko Zambia.
Kipindi hicho bado ni mshamba hujui hata kama kuna mtandao wa Jamiiforums mbona unajikataa Comrade? 🀣🀣🀣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…