Kesho Mtaniona Live na kunifahamu nitakaposhiriki Kwenye maandamano makubwa Mkoa wa Songwe Ya kumpongeza Rais Samia kwa kuteuliwa Kugombea Urais

Mkuu mbona unafahamika tu vyema masta. Na kuna thread humu ina namba yako ya simu ya voda na imesajiliwa hivyo hivyo Lucas Mwashambwa, basi wadau tukakutres kule x, LinkedIn na FB Basi tulivyokuona tukasema, aaah kumbe familia...πŸ˜ƒπŸ˜ƒ
 
Hakuna unakoweza ikuta picha yangu. Mimi naishi mbele ya wakati.
 
Utaamana huku ukibubujikwa na machozi ya furaha
 
WANYIHA wa Mbozi ni wachuna ngozi tuu "tumgoge tumleshe?" Hizi kauli zenu
 
Kwa wasio mfaham Lucas Mwashambwa
 
Attachments

  • Screenshot_2025-01-20-13-34-39-411_com.twitter.android.jpg
    236.5 KB · Views: 3
Hakuna unakoweza ikuta picha yangu. Mimi naishi mbele ya wakati.
Ingekua JF rules and regulations zinaruhusu disclosure ya information za mtu au picha yake, basi masta ningeweka yako humu mastaπŸ˜ƒπŸ˜ƒ
 
Lucas Mwashambwa akiwa amedamshi na uzi wa kifisiem
 
Attachments

  • FB_IMG_1578313238547.jpg
    48.4 KB · Views: 2
  • tapatalk_1570946898001.jpeg
    45.3 KB · Views: 3
A shithole citizen
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…