Kesho naagiza simu original China kama unataka kuagiza?

pc hamuuzii
 
Watu walishakariri anything from China fake
 
I don't believe if that simu ni original. Kuna vitu vichache can be observed kwenye hilo box utagundua has couple of differences compared to the original one. Muweni makini pale mnapo-claim kuwa ni original. Na consumers muweni makini mnapoletewa items believed to be original. Fanyeni utafiti kidogo mtatambua some differences. Copies za devices particularly from China mostly unakuta na stickers pertaining duration of warranty "For Africa" wakati the real manufacturer hana hiyo regional policy. Warranty applies to all regions around the globe. Kingine, box la original phone linakuwa na maandishi makubwa la model of the item.
My comments aren't to purposely kill someone's business rather than to spread awareness kwa members not be easily bamboozled by unscrupulous parties.
 
Simu zote za hapa bongo zinatoka China hata hizo za Dubai zote they come from China. Tumeamua kuwaagizia watu bidhaa China baada ya kuona simu zenu zote za kariakoo ni fake tu. Hakuna simu hapo ni Makopo tu labda infinix na tecno.
Yaani niiliingia China Plaza kumtafutia simu ndugu yangu Samsung tu nilikosa zote ni used zilizochoka. Mnataka watanzania wanunue simu mlimani city?
 
Hii itakua Bei gani?
Samsung Galaxy A55 5G.
Asante
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…