Kesho naagiza simu original China kama unataka kuagiza?

Kesho naagiza simu original China kama unataka kuagiza?

Huawei sikushauri mkuu wangu siku izi hazina playstore. Hata mimi nilikua napenda Huawei ila nilisha badili mtazamo baada ya kuondolewa kwenye Google Play services
Ila Huawei wana simu kali sana. Marekani kumuondolea Google play services mchina amemuharibia soko vibaya sana. Ile simu ilikuwa inaanza kukimbizana na akina Samsung sokoni.
 
Hivi Samsung si inatengenezwa na mkorea, why China tena?

Maana sina imani kama zitakuwa genuine. Hebu nijibu hili swali zinakuwa ni Samsung zenyewe original au ndio zile copy, hebu kuwa muaminifu eneo hilo, nisije toa pesa yangu halafu nikakulaani maisha yote kama sitapata ninachotaka.

Kuwa muungwana unijibu swali langu kiuungwana sana suichukie wala kumind chochote.
Hata baadhi ya iphone pia zinatengenezwa China. Kinachofanyika hapo ni kwamba hayo makampuni ya simu yanafungua viwanda katika nchi mbalimbali kwaajili ya kurahisisha uzalishaji na usambazaji katika masoko ya nchi hizo.
Hivyo makampuni mengi ya simu yanapenda kufungua viwanda China kwa sababu kwanza ni rahisi kupata materials za kutengenezea simu. Lakini simu itakayo tengenezwa itakua na standard za kampuni husika.
Na labda nikwambie hata hiyo simu unayotumia saivi imetengenezwa China.
 
Sawa boss, mimi huko ndio nilikua naishi mkuu. Nilikua naishi Hongshan. Nimeishi huko kwa miaka minne. Nimenunua laptop yangu mwaka 2018 mpaka muda huu naitumia. Hivyo nawafahamu vizuri wachina kuliko wewe. Hawawezi kuniuzia vitu fake. Ninauwezo wa kuingia ofisini kwao hata muda huu na kuwauliza mambo yasipo kwenda sawa. Nimezurura mitaa yote ya China ku refresh mind. Yaani nina marafiki kila mji hakuna mchina wala mtu anaye ishi kwenye mipaka ya China anaweza kuniletea ujanja. Hata wewe kama unataka kwenda China nitafute nikupe mwenyeji wa kufikia na ukifika nampigia simu akupokee.
Eti nimezurura mitaa yote ya China😆😆🤡 kwamba China ni sawa na Dar🤡
 
Naomba tusibishane sana Xinjiang ndio nini mkuu Xinjiang. Watu wanazungumzia Beijing, Shanghai, Guangzhou, Hongkong wewe unatuletea habari za Xinjiang.
Umeona sasa ulivyo mjinga binti fanya biashara. Uongo na biashara havikai sambamba labda uongo na utapeli.

Kwamba Xinjiang sio China ? Ulivyosema mitaa yote ya China umezurura ulikuwa unajiropokea tu kama kichaa au ?!.
 
Nionyeshe hiyo Xinjiang hapa. Huo mji unatofauti gani na Iringa boss.
Screenshot_20240405_151313_Chrome.jpg

Hiyo ndio miji mikubwa nayo recommend watu kusafiri kwaajili ya kupata exposure.

Tangazo: Fursa ya Safari ya China kwa Siku 15!

Je, unatafuta uzoefu wa kipekee wa kusafiri kwenda China kwa siku 15 tu?

Karibu katika safari ya kutembelea mazingira ya kuvutia na utamaduni wa kipekee wa China!

Jiunge nasi kwenye safari yetu maalum ambapo utapata fursa ya kutembelea maeneo mbalimbali ya kuvutia nchini China kwa muda wa siku 15.

Utapata kushuhudia mandhari ya kushangaza, mila na desturi za kipekee, na kupata uzoefu wa kipekee wa maisha ya Kichina.

Kwa maelezo zaidi na kujiandikisha, wasiliana nasi leo hii!

Usipitwe na fursa hii ya kipekee ya kutembea na kujifunza katika ardhi ya ajabu ya China. Karibu katika safari ya maisha!

Kujua zaidi juu ya hii safari hii jiunge kupitia:ScholarshipJunctionX | WhatsApp-Kanal
 
Back
Top Bottom