Zemanda
JF-Expert Member
- Jan 10, 2021
- 8,323
- 18,051
Ila Huawei wana simu kali sana. Marekani kumuondolea Google play services mchina amemuharibia soko vibaya sana. Ile simu ilikuwa inaanza kukimbizana na akina Samsung sokoni.Huawei sikushauri mkuu wangu siku izi hazina playstore. Hata mimi nilikua napenda Huawei ila nilisha badili mtazamo baada ya kuondolewa kwenye Google Play services