Kesho naagiza simu original China kama unataka kuagiza?

Ameuliza Can i get Chinese version in Sweden kwa sababu hamna na ukiagiza kutoka China unajua,wazi kwamba ni Copy.Ndio maana ya"chinese version"
Lugha inakupa tabu mfanyabiashara?
Unaposema nalinganisha Sweden na China una maana gani?
 
Kaa ukijua kila bidhaa unayotumia hapa Tanzania inatoka China mkuu.
 
Situmii vitu feki.Vitu vingi vinavyotengenezwa China ni vya low quality.Na kosa ni wafanyabiashara wanaokwenda China na kununua vifaa,simu vya low quality ili kupata faida ya haraka haraka.
Kuna tofauti kubwa vifaa vinavyotengenezwa China under licence kwa soko la Marekani na Ulaya.
Afrika na Tanzania imekuwa dumping site ya vifaa duni.
 
China bidhaa zao zote ni original wewe unanuaga kwa wafanya biashara wadogo ndio wanakuuzia vitu feki.
 
Inawezekana kuna ka ukweli ila kuna ka uongo kwenye post yako, huwez kua na we chat pay kama huna akaunti ya bank ya China. Na ni lazma uwe raia wa China au kibali cha kuishi China au kufanya kazi China ndo upate akaunt ya bank ya China. Ungesema unalipia kwa alipay Sawa ila sio we chat pay
 
Nina akaunti ya bank ya China, ICBC
 
mkuu Samsung 22 ultra bei gani
IMG-20240906-WA0005(1).jpg
 
Back
Top Bottom