Kesho naagiza simu original China kama unataka kuagiza?

IMG-20240906-WA0006.jpg

IMG-20240906-WA0005.jpg

IMG-20240906-WA0007.jpg

IMG-20240906-WA0008.jpg
 
Hakuna Samsung wala Iphone original kutoka China.
Kama hizo ni original kwanini zinazoletwa Ulaya ziandikwe For Europe use only.
Waambiee watu ukweli kwamba ni copy.
 
Ni original boss. Na nikueleze tu asilimia kubwa simu zote mnazotumia Tanzania zinatoka China. Hatuagizi simu copy.
 
Sio original ni copy ndio maana hata bei zake sio sawa na bei za simu original hasa Samsung na Iphone.
 
Soma hizo bei nilizo andika hapo. Hizo bei ni ndogo? Hizo bei sisi ndio tumezishusha kwasababu ya ubinadamu. Hizo simu ni original mpya. Tungeamua kupandisha ili kujifaidisha kama wengine wanao jifaidisha mara tatu. Hembu pitia hizo bei za iPhone 16 alafu leta pesa yako tukuletee iPhone ya China uitumie alafu ulete mrejesho hapa jukwaani.
 
Mnashusha bei kwa ubinadamu?Give me a break.Mimi simu yangu nimenunua Sweden na,kwenye box lake ilikuwa imeandikwa for Europe users only.
 
Ngoja tuagize kwa watu wenye roho nzuri sasa
 
Soma hizo bei nilizo andika hapo. Hizo bei ni ndogo? Hizo bei sisi ndio tumezishusha kwasababu ya ubinadamu. Hizo simu ni original mpya. Tungeamua kupandisha ili kujifaidisha kama wengine wanao jifaidisha mara tatu. Hembu pitia hizo bei za iPhone 16 alafu leta pesa yako tukuletee iPhone ya China uitumie alafu ulete mrejesho hapa jukwaani.
Kwa kuanza tunaomba tukuuzie simu ndogo ya kitochi original kwa 65000 /=. Uitumie miezi sita then ulete mrejesho wa betri yake.
IMG-20240728-WA0003.jpg
 
Mnashusha bei kwa ubinadamu?Give me a break.Mimi simu yangu nimenunua Sweden na,kwenye box lake ilikuwa imeandikwa for Europe users only.
Hiyo ni iPhone 15 Pro Max ya China waulize watu bei yake ni sh ngapi? Ni laini mbili.
IMG-20240905-WA0006.jpg

IMG-20240905-WA0008.jpg
 
Mnashusha bei kwa ubinadamu?Give me a break.Mimi simu yangu nimenunua Sweden na,kwenye box lake ilikuwa imeandikwa for Europe users only.
Sasa unalinganisha Sweden na China?? Sweden wenyewe wanaagiza bidhaa China.
Screenshot_20241107_000058_Chrome.jpg
 
hizi bei za mda sana. iphone 11 ni laki 6 sasa.

hizi bei shusha 100k - 150k
 
s24+ shiling ngap
Samsung Z Fold 5 512 GB = 2,440,000 TZS
Samsung Z Fold 5 256 GB = 2,280,000 TZS
Samsung Z Flip 5 512 GB = 1,360,000 TZS
Samsung Z Flip 5 256 GB = 1,240,000 TZS
Samsung s24 ultra 512GB = 2480000 TZS
Samsung s24 ultra 256GB = 2320000 TZS
 
Back
Top Bottom