Kesho naagiza simu original China kama unataka kuagiza?

Simu Brand New zimefika BONGO tayari, tayari kwa kudeliver kwa wateja wetu walio agiza.
Kuagiza simu mpya kutoka China tupigie au tutafute Whatsapp kwa namba 0687746471.
 
Mwezi huu tunaagiza tena unaweza kutufollow instagram kuona bidha mbalimbali tunazoweza kukuagizia.
 
Hzi smu unazoagiza ni mpya au refurb? Hebu check

Iphone 6 was launched on 2014
Samsung note 10 launched on 2019....
Kumbuka hz simu zote haziendelei kuzalishwa kwa sasa.

Je unapotuambia hzi smu unaziagiza zikiwa mpya ww unazpata wapi ambazo n mpya wakati makampun husika yashaacha kuzalisha hzo version?
 
Ni simu mpya rafiki. Wewe Jaribu tuagize ukikuta sio mpya tunairudisha tunakupa pesa yako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…