Kesho naelekea Tengeru Arusha, naomba location kutoka Arusha mjini

Kesho naelekea Tengeru Arusha, naomba location kutoka Arusha mjini

Wakuu kwa mara yangu ya kwanza kufika kule namsindikiza mdogo wangu anaenda chuo cha tengeru. Sina experience yeyote najua hapa nitapata ABC zake, shukrani.
Unaenda unaomba location? Au unataka kujua mazingira? Au unataka connection?
Kama unataka connection, ngoja tumuite Tivu Ake 😂 😂 😂 😂 😂
 
Shukr

Chuo na maendeleo ya jamii
Ok, unatokea Dar au?
1. Kama unatokea Dar shuka Tengeru.
2. Kama utashukia town...uliza stand ndogo, then panda gari za Tengeru...nauli kati ya 600/700.

Ukishuka Tengeru...boda yoyote atakupeleka chuoni, sio mbali hata kwa mguu unaweza kutembea
 
Ujasema una tokea wapi ili iwe rahisi kukuelekeza
 
N
Ok, unatokea Dar au?
1. Kama unatokea Dar shuka Tengeru.
2. Kama utashukia town...uliza stand ndogo, then panda gari za Tengeru...nauli kati ya 600/700.

Ukishuka Tengeru...boda yoyote atakupeleka chuoni, sio mbali hata kwa mguu unaweza kutembea
Natokea dar vip mkuu nipande gari za usiku au hata sa 12? Je nitafika Mida gani?
 
Kwanza nakushauri upande bus la usiku ili uifke asubuhi. kata siti ya mbele usiwe mbali sana na konda .mkisha vuka moshi uta mwambia konda akushushe tengeru ili asi sahau .. ni njiani tu apo boda wata wapeleka hadi chuoni ...
 
Short n clear. Shuka kituo cha Tengeru. Panda boda boda mpaka hapo ni buku very likely. Au ikizidi sana buku mbili TU. Ukidelay kuwaambia pa kukushusha utapitilizwa mpaka mjini hutaamini. Uelekeo...TENGERU!
 
Ukifika Arusha mjini panda gari zinazoelekea Singida,shuka Makuyuni halafu upande zinazotoka Dodoma ushukie Kisongo,halafu mpe mdudu yeyote buku akuelekeze
Safi, manake naona hilo bwabwa sijui la wapi linachezea watu humu baada ya joto kumpanda. Kwamba anaulizia ilipo Tengeru akiwa Arusha mjini?😡😡😡😡
 
Safi, manake naona hilo bwabwa sijui la wapi linachezea watu humu baada ya joto kumpanda. Kwamba anaulizia ilipo Tengeru akiwa Arusha mjini?😡😡😡😡
Huenda tecno yake ni mpya so anajaribu mitambo kujua kama tigo pesa ndo mpesa au ni airtel money
 
Wakuu kwa mara yangu ya kwanza kufika kule namsindikiza mdogo wangu anaenda chuo cha tengeru. Sina experience yeyote najua hapa nitapata ABC zake, shukrani.
Kama unatokea dar shuka tengeru alaf unajifanya ww syo mgen mtafute boda mwambie had sehem unapo elekea kwa mfano " mkuu vp naitaji toyo mbili hadi labda hapo chuo cha kilimo hatakuambia kias flan tayar umesha pata uwakka wasafar yako " ukitaitaji kuja kupumzka town panda haic kama unakpunda chakutosha nione tukapge vyombo hapo milestone au the hub uinjoi safar yako ya Arusha
 
Anaenda Tengeru chuo gani? CDTI, Mifugo au Patandi? Kama unatokea njia ya Dsm, shukia Tengeru, kama unatokea barabara ya Babati shukia stendi chukua daladala za USA river, Kikatiti au maji ya Chai. Shukia Tengeru, nauli 700 toka mjini, kama unaenda CDTI au Mifugo ukishuka Tengeru unapanda bodaboda nauli 1500 hadi 2000. Karibu Tengeru Kaka.
 
Back
Top Bottom