Kesho naelekea Tengeru Arusha, naomba location kutoka Arusha mjini

Kesho naelekea Tengeru Arusha, naomba location kutoka Arusha mjini

Situmii kilevi
Kama unatokea dar shuka tengeru alaf unajifanya ww syo mgen mtafute boda mwambie had sehem unapo elekea kwa mfano " mkuu vp naitaji toyo mbili hadi labda hapo chuo cha kilimo hatakuambia kias flan tayar umesha pata uwakka wasafar yako " ukitaitaji kuja kupumzka town panda haic kama unakpunda chakutosha nione tukapge vyombo hapo milestone au the hub uinjoi safar yako ya Arusha
 
D
Anaenda Tengeru chuo gani? CDTI, Mifugo au Patandi? Kama unatokea njia ya Dsm, shukia Tengeru, kama unatokea barabara ya Babati shukia stendi chukua daladala za USA river, Kikatiti au maji ya Chai. Shukia Tengeru, nauli 700 toka mjini, kama unaenda CDTI au Mifugo ukishuka Tengeru unapanda bodaboda nauli 1500 hadi 2000. Karibu Tengeru
Natokea dar kaka asante
Kaka.Natokea
 
Hauna joining instructions mkuu inakuwa na contact?

Wapigie 0762 158 472
 
Ukiona umetoka Moshi mwambie konda unashuka Tengeru we mgeni, Kisha daka toyo chap.
 
Back
Top Bottom