nipo online
JF-Expert Member
- Sep 10, 2022
- 1,039
- 2,657
- Thread starter
-
- #21
Chuo na maendeleo ya jamiiHapo tengeru ukishuka ndio utajua unaelekea wap kutokana na unapokwenda ila tengeru ndio kitu rasmi ndugu
TOa maelezo vizuri;
Tengeru kuna vyuo hivi;
1. Mifugo
2. Chuo cha ualimu Tengeru
3. Ustawi wa jamii/CDTI
Je dogo anaenda chuo gani?
Unaenda unaomba location? Au unataka kujua mazingira? Au unataka connection?Wakuu kwa mara yangu ya kwanza kufika kule namsindikiza mdogo wangu anaenda chuo cha tengeru. Sina experience yeyote najua hapa nitapata ABC zake, shukrani.
Kaka hatufanani ujanjaUkifika arusha mjini uliza wenyeji.
Yaani hapo arusha tu unapagawa,ungeambiwa unaenda yuesei je,new york city
Nipigie ntakuelekeza mwanzo mwishoWakuu kwa mara yangu ya kwanza kufika kule namsindikiza mdogo wangu anaenda chuo cha tengeru. Sina experience yeyote najua hapa nitapata ABC zake, shukrani.
HahahaThere you are, akifika kichakani achukue piki piki hadi matejoo, atapata msaada
Wee jamaa ungejua mimi ndo tegemeo kwenye uboreshaji wa daftari la kudumu la wapiga kura usingeniita mhuni..huyo jamaa muhuni
Ok, unatokea Dar au?Shukr
Chuo na maendeleo ya jamii
we jamaa miyeyusho unampanga mkali apande gari za kwenda domWee jamaa ungejua mimi ndo tegemeo kwenye uboreshaji wa daftari la kudumu la wapiga kura usingeniita mhuni..
Sijaona mbonaNipigie ntakuelekeza mwanzo mwisho
Check dm nimekutumia namba
Natokea dar vip mkuu nipande gari za usiku au hata sa 12? Je nitafika Mida gani?Ok, unatokea Dar au?
1. Kama unatokea Dar shuka Tengeru.
2. Kama utashukia town...uliza stand ndogo, then panda gari za Tengeru...nauli kati ya 600/700.
Ukishuka Tengeru...boda yoyote atakupeleka chuoni, sio mbali hata kwa mguu unaweza kutembea
Dar mkuUjasema una tokea wapi ili iwe rahisi kukuelekeza
Exchuz bro, nimeshauri apande zinazotoka dom sio za kwenda..advantage ni kwamba atapitia TMA Monduli bila kuhangaika na JKTwe jamaa miyeyusho unampanga mkali apande gari za kwenda dom
Kwanza nakushauri upande bus la usiku ili uifke asubuhi. kata siti ya mbele usiwe mbali sana na konda .mkisha vuka moshi uta mwambia konda akushushe tengeru ili asi sahau .. ni njiani tu apo boda wata wapeleka hadi chuoni ...Dar mku
Safi, manake naona hilo bwabwa sijui la wapi linachezea watu humu baada ya joto kumpanda. Kwamba anaulizia ilipo Tengeru akiwa Arusha mjini?π‘π‘π‘π‘Ukifika Arusha mjini panda gari zinazoelekea Singida,shuka Makuyuni halafu upande zinazotoka Dodoma ushukie Kisongo,halafu mpe mdudu yeyote buku akuelekeze
Huenda tecno yake ni mpya so anajaribu mitambo kujua kama tigo pesa ndo mpesa au ni airtel moneySafi, manake naona hilo bwabwa sijui la wapi linachezea watu humu baada ya joto kumpanda. Kwamba anaulizia ilipo Tengeru akiwa Arusha mjini?π‘π‘π‘π‘
Kama unatokea dar shuka tengeru alaf unajifanya ww syo mgen mtafute boda mwambie had sehem unapo elekea kwa mfano " mkuu vp naitaji toyo mbili hadi labda hapo chuo cha kilimo hatakuambia kias flan tayar umesha pata uwakka wasafar yako " ukitaitaji kuja kupumzka town panda haic kama unakpunda chakutosha nione tukapge vyombo hapo milestone au the hub uinjoi safar yako ya ArushaWakuu kwa mara yangu ya kwanza kufika kule namsindikiza mdogo wangu anaenda chuo cha tengeru. Sina experience yeyote najua hapa nitapata ABC zake, shukrani.
π€£π€£π€£π€£π€£.....pumbafu yakeHuenda tecno yake ni mpya so anajaribu mitambo kujua kama tigo pesa ndo mpesa au ni airtel money