Kesho nafumania nimfanyaje mgoni?

Kesho nafumania nimfanyaje mgoni?

anagalia usiende wewe ndio ukafumaniwa utaliwa tigo bure achana na mambo ya kijinga hujaoa unaenda kufumania nini?
 
BATA HATA KWA WATU WENGI LAZIMA AHARISHE TU.......Kifulambute
 
Subiri, ukioa na kuwa na mke halali ndiyo fikiria kufanya unachotaka kufanya sasa!
 
Kabla ya kutafakari jinsi ya kumfumania, jiulize kwanza kwanini amekusaliti. Pia tambua kuwa uzinifu ulipwa kwa uzinifu, hapo inatakiwa ujue kuwa wewe unazini hivyo sio ajabu na wewe kuziniwa m2 wako.
 
huna haki ya kufumania...acha kuingilia starehe yao...
 
Mnake huyu binti ni mtu mzima ana akili zake ameamua mwenyewe kwenda kuchakachuliwa sasa wewe unasema unafumania angalia jamaa anaweza kukukata za chembe na demu kala mzigo hapo ndio utajijua...manake haiwezekani mi nitongoze binti hajaolewa halafu uje kuleta ukuda nakupa tifu la mwaka....kama umeoa sawa lakini demu?!!

Na hata kama ameolewa kwani kabakwa? si amekubali mwenyewe?
 
KUNA mtu mmoja nilizikamata sms za malovie kwa mpenzi wangu wakijibizana ,nikazunguka kitaa nikapata full detail jamaa anamtafuna mpenzi wangu baa fulani sasa kesho nimekuta sms kuwa watakutana pale jion na tayali huyu manzi nikamuomba nitoke naye kanipa sababu lukuki nikajifanya understanding.Sasa waungwana ninahakika kwan nshachunga na muhudumu wa gesti ,je nikiwabamba nifanyaje ? inaniuma sana.
weraaaaaaaaaaaaaaaaaaa weraaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
matarumbeta hutaki mana mi niko hapa kwa ajili ya kubeba mishumaaa mgoni huyo atajutaje kukujua ........................inabidi tuende na wahuni wa3 wanatosha na mafuta kidogo ili kurahisisha kazi sizani ka atarudia tena kutamani wapenzi wawatu
 
Kumbuka huyo si mkeo hivyo hata jamaa anaweza kukugeuzia kibao... kibaya zaidi huyo msichana hakupendi ndo maana ana watu wengine angalia usije ukaaibika mwenyewe.. Kijana wa kisasa haangaiki na kugombea mwanamke anawaza namna ya kuongeza kipato chake hiki kinaleta wanawake kwako na hawatakukimbia coz utajiamini zaidi
 
Jaman kwan tatzo nn? C kaamua mwnyw? We km vp 2pa kuleee! Kwn mkeo? Ukiambiwa w ni boy4rnd haimaniishi uko peke ako
 
Ovyoooo mtsssssss!!!
Hujaelewa tu? Hutakiwi ndio mana yake!
Hujakuwa ehhh?
 
mhhhhhhhhhhh! unajidai una hasira kwa uzinzi wako eeeeh!
 
toa utoto wako hapa.

Aaaaah, mi nilifikiri mkeo? Una uhakika gani kwamba huyo anayemmega siyo chaguo lake la kwanza? Mweleze huyo mpenzio kuwa umejua nyendo zake na umeamua kuachana naye bas.


Una uhakika gani kuwa unayetaka kumfumania ndiye mmiliki halali!
Kama ni mchumba, mweleze tu kuwa tayari ushajua nyendo zake. Wasichana wapo wengi.

Kidume cha kweli hana time na mwanaume mwenzake pale anapofumania coz' the one who's obliged to you is ur wife! The one who betrayed you is your girl and not the man!! so let the man go freely but with oral warning and then deal with ur gal.

unaenda kufumania wakati huyo sio mkeo? unaenda kujidhalilisha tu

nadhani kisheria huwezi kumfumania mpenzi, unaweza kumfumania mume au mke WA NDOA.
Mpenzi ni mpenzi tu, unaweza kuwa nao 100, na yeye 100. Anza fasta. Ila ni fundisho kwako, OA.

Jina lako lenyewe ni la Kisharobaro, kuwa makini. Watakufirindimba.

Mnake huyu binti ni mtu mzima ana akili zake ameamua mwenyewe kwenda kuchakachuliwa sasa wewe unasema unafumania angalia jamaa anaweza kukukata za chembe na demu kala mzigo hapo ndio utajijua...manake haiwezekani mi nitongoze binti hajaolewa halafu uje kuleta ukuda nakupa tifu la mwaka....kama umeoa sawa lakini demu?!!

mkeo? usije fumaniwa wewe?

Kwani ni mkeo huyo? kama wewe unaweza kutembea nae bila ya kuoana unategemea na wenzako wasiweze? unanchekesha!

Nenda kapigwe..

jukwaa la great thinkers limevamiwa na wendawazimu.

Don waste yo unaweza ukaenda aibika kaka usikute huyo chaguo la huyo bi mkubwa wako,,,, muweke wazi then chukua tym yako

huna haki ya kufumania...acha kuingilia starehe yao...

Na hata kama ameolewa kwani kabakwa? si amekubali mwenyewe?
Haka kakijana kalikotoka kubalehe majuzi kama hakajawaelewa nyie woooote basi katakuwa kana matatizo sugu.

Ama kweli JF imeingiliwa!
 
achana naye huyo hakufai, nenda kanisani ukamuombe MUNGU akupe mke mwema la sivyo utaishia kushika pembe wenzako wanakamua, watakucheka watu, shauri yako
 
kwan huyo mwanamke wako mtoto sikakubali mwenyew usituchoshe bwana
 
aaah,demu tu?mweleze tu unayoyajua halafu chapa mwendo
 
Jina lako lenyewe ni la Kisharobaro, kuwa makini. Watakufirindimba.
Wewe si yule yule The Only One? nakumbuka shameji (mke wako) alituambia humu kuwa umebadilisha jina hili.
Wacheni Ushingongo humu!
 
Usitake kwenda kujidhalilisha mwenyewe,huyo ni mpnz tu wala sio mkeo,na kwa hali hiyo tambua hakupendi tena kwann unajitesa mwambie ukweli then kila mtu achukue time!unaweza ukaenda na ukafumania demu akakukana hakujui na ukakuta jamaa yuko fiti zaidi yako ukala kipondo pia,sasa utakuwa umenufaika nn hapo,mpe ukweli achana nae bac.
 
Back
Top Bottom