Saint Ivuga
JF-Expert Member
- Aug 21, 2008
- 54,762
- 59,204
FF ume i like hii post sababu ya hilo neno?Jina lako lenyewe ni la Kisharobaro, kuwa makini. Watakufirindimba.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
FF ume i like hii post sababu ya hilo neno?Jina lako lenyewe ni la Kisharobaro, kuwa makini. Watakufirindimba.
Mnake huyu binti ni mtu mzima ana akili zake ameamua mwenyewe kwenda kuchakachuliwa sasa wewe unasema unafumania angalia jamaa anaweza kukukata za chembe na demu kala mzigo hapo ndio utajijua...manake haiwezekani mi nitongoze binti hajaolewa halafu uje kuleta ukuda nakupa tifu la mwaka....kama umeoa sawa lakini demu?!!
weraaaaaaaaaaaaaaaaaaa weraaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaKUNA mtu mmoja nilizikamata sms za malovie kwa mpenzi wangu wakijibizana ,nikazunguka kitaa nikapata full detail jamaa anamtafuna mpenzi wangu baa fulani sasa kesho nimekuta sms kuwa watakutana pale jion na tayali huyu manzi nikamuomba nitoke naye kanipa sababu lukuki nikajifanya understanding.Sasa waungwana ninahakika kwan nshachunga na muhudumu wa gesti ,je nikiwabamba nifanyaje ? inaniuma sana.
toa utoto wako hapa.
Aaaaah, mi nilifikiri mkeo? Una uhakika gani kwamba huyo anayemmega siyo chaguo lake la kwanza? Mweleze huyo mpenzio kuwa umejua nyendo zake na umeamua kuachana naye bas.
Ovyooo!
Una uhakika gani kuwa unayetaka kumfumania ndiye mmiliki halali!
Kama ni mchumba, mweleze tu kuwa tayari ushajua nyendo zake. Wasichana wapo wengi.
Kidume cha kweli hana time na mwanaume mwenzake pale anapofumania coz' the one who's obliged to you is ur wife! The one who betrayed you is your girl and not the man!! so let the man go freely but with oral warning and then deal with ur gal.
unaenda kufumania wakati huyo sio mkeo? unaenda kujidhalilisha tu
nadhani kisheria huwezi kumfumania mpenzi, unaweza kumfumania mume au mke WA NDOA.
Mpenzi ni mpenzi tu, unaweza kuwa nao 100, na yeye 100. Anza fasta. Ila ni fundisho kwako, OA.
Jina lako lenyewe ni la Kisharobaro, kuwa makini. Watakufirindimba.
Mnake huyu binti ni mtu mzima ana akili zake ameamua mwenyewe kwenda kuchakachuliwa sasa wewe unasema unafumania angalia jamaa anaweza kukukata za chembe na demu kala mzigo hapo ndio utajijua...manake haiwezekani mi nitongoze binti hajaolewa halafu uje kuleta ukuda nakupa tifu la mwaka....kama umeoa sawa lakini demu?!!
mkeo? usije fumaniwa wewe?
Kwani ni mkeo huyo? kama wewe unaweza kutembea nae bila ya kuoana unategemea na wenzako wasiweze? unanchekesha!
Nenda kapigwe..
jukwaa la great thinkers limevamiwa na wendawazimu.
Don waste yo unaweza ukaenda aibika kaka usikute huyo chaguo la huyo bi mkubwa wako,,,, muweke wazi then chukua tym yako
huna haki ya kufumania...acha kuingilia starehe yao...
Haka kakijana kalikotoka kubalehe majuzi kama hakajawaelewa nyie woooote basi katakuwa kana matatizo sugu.Na hata kama ameolewa kwani kabakwa? si amekubali mwenyewe?
Wewe si yule yule The Only One? nakumbuka shameji (mke wako) alituambia humu kuwa umebadilisha jina hili.Jina lako lenyewe ni la Kisharobaro, kuwa makini. Watakufirindimba.