Kesho naingia kwenye oral interview lakini hili limenitokea

Wakuu asante sana kwa ushauri, nilienda kwenye eneo la usaili, mara ya kwanza nilipitishwa ,badae akaja mkuu kidgo akaniweka pemben akasema nisubr, wakajadiliana kama watu 4 hivi ,mwisho wakasema haiwezekani, ila wakanishaur kwassbbu nina masomo mawili na yana interval ya siku ya usaili basi nifate tu hyo trans original.

Asanteni kwa ushauri , kwa wajuz ,je trans inachukua muda gani kuipata na ni lazima niwepo mimi mwenyewe? Nipo songea, nilisoma SUA ,gharama tu ya nauli kwenda na kurudi 120,000.
SUA transcript unachukuliwa, cha msingi anaeenda kukuchukulia awe na barua uloandika kisha ukaisain na passport zake na zako... lakini kama ulichukua ikapotea sijajua inabidi aende na vielelezo gani, lakini mtume mtu utafanikiwa.
 
Asante
 
Wakuu asante sana kwa ushauri, nilienda kwenye eneo la usaili, mara ya kwanza nilipitishwa ,badae akaja mkuu kidgo akaniweka pemben akasema nisubr, wakajadiliana kama watu 4 hivi ,mwisho wakasema haiwezekani, ila wakanishaur kwassbbu nina masomo mawili na yana interval ya siku ya usaili basi nifate tu hyo trans original.

Asanteni kwa ushauri , kwa wajuz ,je trans inachukua muda gani kuipata na ni lazima niwepo mimi mwenyewe? Nipo songea, nilisoma SUA ,gharama tu ya nauli kwenda na kurudi 120,000.
Pole sana mkuu.

Bila shaka hapo lazima uwe na loss report, Ifuatilie na uwe nayo.

Kama una akiba ya fedha na nafsi yako inakutuma kuwa huo usaili utatoboa nenda kafuate hiyo trascript, Asumu kama vile umeitwa usaili ukafanyie Dodoma/Dar gharama lazima zingekutoka tu.

Kuwa na roho ya kutokataa tamaa.
 
Utatupa mrejesho mkuu!
Kama una namba za chuo wacheki waelezee kisa usikie wanasemaje

Ikiwezekana dandia hata maroli mzee
Watanzania wengi wangekua na roho ya huyu jamaa basi mambo yangekua mepesi sana. Una roho ya utu sana ndugu edelea hivyo hivyo.
 
Wakuu habari, kesho naingia kwenye usaili wa oral mwalimu wa HISABATI ngazi ya degree.

ila transcript ya matokeo sijafanikiwa kuipata orijino,nimepata kopi tu ila vyeti vingine vyote ni og, daa nmechanganyikiwa.

Mrejesho:
Wakuu asante sana kwa ushauri, nilienda kwenye eneo la usaili, mara ya kwanza nilipitishwa ,badae akaja mkuu kidgo akaniweka pemben akasema nisubr, wakajadiliana kama watu 4 hivi ,mwisho wakasema haiwezekani, ila wakanishaur kwassbbu nina masomo mawili na yana interval ya siku ya usaili basi nifate tu hyo trans original.

Asanteni kwa ushauri , kwa wajuz ,je trans inachukua muda gani kuipata na ni lazima niwepo mimi mwenyewe? Nipo songea, nilisoma SUA ,gharama tu ya nauli kwenda na kurudi 120,000.
Kila la kheri Mkuu
 
Mkuu pole sana najua inauma sana sana…jaribu kufanya mchakato kama hii kazi ni yako utafanikiwa Mungu yupo tuu! Soo sad
 
Mkuu umefikia wapi mpaka Sasa? Umefanikiwa kusafiri ?
Na interview ya somo lako lingine unafanya siku Gani?

Mungu azidi kukupigania
 
Wakuu habari, kesho naingia kwenye usaili wa oral mwalimu wa HISABATI ngazi ya degree.

ila transcript ya matokeo sijafanikiwa kuipata orijino,nimepata kopi tu ila vyeti vingine vyote ni og, daa nmechanganyikiwa.

Mrejesho:
Wakuu asante sana kwa ushauri, nilienda kwenye eneo la usaili, mara ya kwanza nilipitishwa ,badae akaja mkuu kidgo akaniweka pemben akasema nisubr, wakajadiliana kama watu 4 hivi ,mwisho wakasema haiwezekani, ila wakanishaur kwassbbu nina masomo mawili na yana interval ya siku ya usaili basi nifate tu hyo trans original.

Asanteni kwa ushauri , kwa wajuz ,je trans inachukua muda gani kuipata na ni lazima niwepo mimi mwenyewe? Nipo songea, nilisoma SUA ,gharama tu ya nauli kwenda na kurudi 120,000.
Usaili wa I
Oral ni lini...!?

Kwa uzoefu, sio lazima uende wewe kuchukua hiyo Transcript ila unaweza kumuagiza mtu akutumie kwa Bus.

Utaratibuu...!!

Muagize mtu unae fahamiana nae, aende kwa Mwanasheria/ Wakili kuna Document maalumu ya commitment atajaza itapigwa muhuri wa Wakili/ Mwanasheria ( Hii fomu huwa inalipiwa) then hiyo document ataenda nayo chuoni, ataonesha then watamprintia Transcript yako bila shida yoyote.

Kila la kheri kwenye usaili wako.

Ahsante.
 
U

UBarikiwe mkuu
 
Back
Top Bottom