Kesho naingia kwenye oral interview lakini hili limenitokea

Kesho naingia kwenye oral interview lakini hili limenitokea

Kwa ushauri na kuweka tafadhali tafuta loss report uwe nayo, ili ikitokea wamezingua unawaonesha hiyo ndo itakuwa msaada wako. Loss report kupata si kazi hii ni kwa uhakika zaidi
Mzee loss report kwasasa inawezekana?? Ila kopi ya hyo trans ninayo
 
Wakuu habari, kesho naingia kwenye usaili wa oral mwalimu wa HISABATI ngazi ya degree.

ila transcript ya matokeo sijafanikiwa kuipata orijino,nimepata kopi tu ila vyeti vingine vyote ni og, daa nmechanganyikiwa.
Nimechelewa ila nakwambia Bora uende na loss report na hiyo copy iliyo pigwa muhuri wa mahakam other wise wanakuweka pembeni
 
Ni colored au ni ile nyeusi?...kwanini kama ni colored na inaonekana vizuri usiipige mhuri thenu ifanyie lamination?. Unaweza jiongeza na polisi pia. Njia zote mbili hizo ni za kubahatisha.
 
Ni colored au ni ile nyeusi?...kwanini kama ni colored na inaonekana vizuri usiipige mhuri thenu ifanyie lamination?. Unaweza jiongeza na polisi pia. Njia zote mbili hizo ni za kubahatisha.
Good ,police loss report muhimu hapo
 
Ukifika pale shusha formula za calculus kutoka kichwani, wathibitishie kwa darasa la mitihani, katika somo lako wote watapata A kwenye mtihani wa taifa; hawataangaika na vyeti vyako​
 
Yaani umengojea siku moja kabla ya interview ndio unaandaa vyeti? Hauko serious na interview hautoruhusiwa kuingia!

Utanisamehe dogo kama ukweli huu ni mchungu. Hauwezi kuwa mzembe kiasi hicho kwenye maisha kisha utarajie mafanikio.

Next time fanya kila kitu mapema. Transcript chuo unapewa nyingi kwa kadri utakvyolipia. Laiti ungalipanga mambo yako mapema basi ungeenda chuo ukalipia nyingine wanakupa tu. Transcript wala haihitaji loss report, hata ukitaka kopi kumi wanakupa. Ni hela yako tu.
 
Mkuu nimekuelewa sana mzee, let me try kwenda tu ,nikweli ni makosa yangu.
 
Ni colored au ni ile nyeusi?...kwanini kama ni colored na inaonekana vizuri usiipige mhuri thenu ifanyie lamination?. Unaweza jiongeza na polisi pia. Njia zote mbili hizo ni za kubahatisha.
Nitakupa mrejesho kesho
 
Chukua hiyo og nenda kapige muhiri wa mwana Sheria. Kisha nenda kwa Imani

Face them mapema,waeleze watakuelewa!

Mimi nakuombea ... Na ntafunga kesho na kukuombea mkuu! Usikate tamaaa

Hii kazi utapata
Imechukua replies 19 kupata jibu sahihi kwa mtoa mada. Wengi wamejibu hovyo hovyo kuashiria hata hawajui chochote.

Hongera mkuu. Huu ndio ushauri aliotakiwa kuupata kwenye comment ya kwanza.

Au kwakuwa ameshasema ana degree asingetakiwa kuleta huu uzi kabisa. Haya ni mambo ya kawaida kabisa.
 
Back
Top Bottom