Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu upo serious kwa hili??We panga vyeti vyako vyote usiweke transcript, mpaka watakapohitaji. Nishafanya sahili kadhaa nawapa vyeti na transcript, transcript narudishiwa
helewa kua transcript haiirajiki ukishaitwa kwenye usahiliAsante kwa kunitia moyo, nitakwenda na nitaleta mrejesho.
Hapo pagumu kinomanoma nikushauri tu kamtie sound panel master au panel attendant yoyote ila awe manzi mtie vocal muimbishe mwambie huna OG una copy utapenya tu kibingwaDaaa mzee nahs kukata tamaa
Usiwaze mkuu Mungu yupo pamoja naweAsante kwa kunitia moyo, nitakwenda na nitaleta mrejesho.
Tayari nini mkuuTayar
Una shauri vipi mkuu? Ushauri wako unaweza kuwa Bora!Si shauri Hawaface mapema kuwaeleza issue ilivyo hapo hakikuta msimamizi mkuda ni noma.
Kwanza kabisa asiwe na hofu/wasiwasi, aende kwa kujiamini kabisa, muda wa ukaguzi wa vyeti awape vyeti vyake bila hiyo copy ya transcript hii akiwapa ndo ataanzisha maswali mengine. Ila kwa ushuhuda tu Mimi nishafanya sahili bila wao kuizingatiaUna shauri vipi mkuu? Ushauri wako unaweza kuwa Bora!
Kikubwa Mimi sitaki awe muoga tu! Kuna vitu Mungu anaruhusu vitokee ili apate kuonyesha ukuu wake
Usiwe na hofu mkuu, interview utafanyaaa kitu kikubwa una cheti original maake hata Mimi nimefanyaa interview kama tatu utumishi walikuaga hawana haja saana ya kukagua transcript so nenda na hiyo copy yake na ninaaminii watakuruhusu mkuu ingekuwa ni chetii ningekwambia bye byeWakuu habari, kesho naingia kwenye usaili wa oral mwalimu wa HISABATI ngazi ya degree.
ila transcript ya matokeo sijafanikiwa kuipata orijino,nimepata kopi tu ila vyeti vingine vyote ni og, daa nmechanganyikiwa.
Ila naomba nikuulize kitu, hiyo transcript imekuwaje huna na vyeti ulishachukua, au umepoteza. Kama umepoteza nikushauri ufatilie loss reportWakuu habari, kesho naingia kwenye usaili wa oral mwalimu wa HISABATI ngazi ya degree.
ila transcript ya matokeo sijafanikiwa kuipata orijino,nimepata kopi tu ila vyeti vingine vyote ni og, daa nmechanganyikiwila
Ko unataka wanafunzii wetu wafundishwe na nani??Achana na maswala ya kufundisha , huko njaa kali ..
Nilikuwa huko
Mkuu trans nilipata na nikachukua cheti ninacho,ila trans imepotea imebaki copy ambayo nilipiga muhur kwa mwanasheriaIla naomba nikuulize kitu, hiyo transcript imekuwaje huna na vyeti ulishachukua, au umepoteza. Kama umepoteza nikushauri ufatilie loss report
Kwa ushauri na kuweka tafadhali tafuta loss report uwe nayo, ili ikitokea wamezingua unawaonesha hiyo ndo itakuwa msaada wako. Loss report kupata si kazi hii ni kwa uhakika zaidiMkuu trans nilipata na nikachukua cheti ninacho,ila trans imepotea imebaki copy ambayo nilipiga muhur kwa mwanasheria