Kesho naingia kwenye oral interview lakini hili limenitokea

Kesho naingia kwenye oral interview lakini hili limenitokea

Usijali sana mkuu hata kama hutopata hyo kazi ,ualimu unaweza kukufanya fukara
 
Wakuu habari, kesho naingia kwenye usaili wa oral mwalimu wa HISABATI ngazi ya degree.

ila transcript ya matokeo sijafanikiwa kuipata orijino,nimepata kopi tu ila vyeti vingine vyote ni og, daa nmechanganyikiwa.
Transcript hawazingatii sana, muhimu zaidi ni Cheti. Ila kwa usaili huu wa walimu sijajua itakuwa, ila jipe moyo na Kumuomba Mungu.
 
Back
Top Bottom