Wakuu asante sana kwa ushauri, nilienda kwenye eneo la usaili, mara ya kwanza nilipitishwa ,badae akaja mkuu kidgo akaniweka pemben akasema nisubr, wakajadiliana kama watu 4 hivi ,mwisho wakasema haiwezekani, ila wakanishaur kwassbbu nina masomo mawili na yana interval ya siku ya usaili basi nifate tu hyo trans original.
Asanteni kwa ushauri , kwa wajuz ,je trans inachukua muda gani kuipata na ni lazima niwepo mimi mwenyewe? Nipo songea, nilisoma SUA ,gharama tu ya nauli kwenda na kurudi 120,000.