jitombashisho
JF-Expert Member
- Jun 11, 2020
- 667
- 2,245
Unaweza kusema kesho mtoto hatumwi dukani!
Kura za maoni za kuteuliwa kugombea nafasi za Ubunge ndani ya CCM ni kesho kwa hakika macho na masikio Watanzania yataekekezwa kwenye zoezi hilo muhimu ndani ya Nchi!
Kuanzia Ugunja hadi Nyasa kesho hatumwi mtoto dukani.
Macho yataelekezwa zaidi kwenye majimbo mawili Kawe na Kigamboni maana huko ndipo SHOKA ILIUNGUA AJABU MPINI UKABAKI!
Ama kweli usiku wa deni...!