Hapa Nimemuambia Mke Wangu Tufanye Maombi special kwa AJILI ya ndugu Makonda.....
Kwa Mapenzi Yetu Binafsi Juu Ya Comrade Paul Makonda Ninaomba wanaCCM wenzangu na Watia Nia Wengine Pale Kigamboni Waniruhusu Niwabague Katika Maombi Yetu Haya..........
Nitawabagua kwa kuwa NITAMUOMBEA PAUL MAKONDA PEKE YAKE.....
Kvp?
Ninataraji Mwenyezi Mungu Atatujibia Maombi Yetu Kwa Kumfanya Paulo Makonda Awe Mgombea No.1 Wa Ubunge Pale Kigamboni Akiiepeperusha Bendera ya CCM aaamin.
Nikiwaangalia wakuu wa mikoani wote Tanzania,hakika Paulo Makonda alikuwa Mkuu Wa MKOA Mwenye Viwango Vikubwa Aliyetutendea Mengi Mazuri Wakazi Wa Jiji Hili.
Hakika ni MENGI Na Hayahesabiki....
Eee Mwenyezi Mungu Mbariki Na Umuinue Mja Wako Makonda Katika Safari Ya NDOTO ZAKE aaaamin aaaaaamin[emoji2969][emoji2969][emoji2969][emoji2969][emoji2969]
Kwa Maana kila binadamu MKAMILIFU ana NDOTO.....