Uchaguzi 2020 Kesho ndiyo kesho kura za maoni CCM. Asiye na mwana na....jiwe!

Uchaguzi 2020 Kesho ndiyo kesho kura za maoni CCM. Asiye na mwana na....jiwe!

Unaweza kusema kesho mtoto hatumwi dukani!

Kura za maoni za kuteuliwa kugombea nafasi za Ubunge ndani ya CCM ni kesho kwa hakika macho na masikio Watanzania yataekekezwa kwenye zoezi hilo muhimu ndani ya Nchi!

Kuanzia Ugunja hadi Nyasa kesho hatumwi mtoto dukani.

Macho yataelekezwa zaidi kwenye majimbo mawili Kawe na Kigamboni maana huko ndipo SHOKA ILIUNGUA AJABU MPINI UKABAKI!

Ama kweli usiku wa deni....!
Chief wewe inakusaidiaje kukuza uchumi wako wa kati?
 
Vip takukuru watakuwepo?
Unaweza kusema kesho mtoto hatumwi dukani!

Kura za maoni za kuteuliwa kugombea nafasi za Ubunge ndani ya CCM ni kesho kwa hakika macho na masikio Watanzania yataekekezwa kwenye zoezi hilo muhimu ndani ya Nchi!

Kuanzia Ugunja hadi Nyasa kesho hatumwi mtoto dukani.

Macho yataelekezwa zaidi kwenye majimbo mawili Kawe na Kigamboni maana huko ndipo SHOKA ILIUNGUA AJABU MPINI UKABAKI!

Ama kweli usiku wa deni....!
 
mara paa bashite anapita kisha anapewa waziri wa Mambo ya ndani,Wapinzani mtakoma

bashite kupita yani ni asubuh mapema yule mtoto pendwa wa baba...yan anavyopenda vyeo ivyo aingeachia ukuu wa mkoa kama babake hakumjhakikishia ushind mkuu...za chini chini makonda atakabidhiwa kijiti 2025, nchi yakibwege sana hii...
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hapa Nimemuambia Mke Wangu Tufanye Maombi special kwa AJILI ya ndugu Makonda.....

Kwa Mapenzi Yetu Binafsi Juu Ya Comrade Paul Makonda Ninaomba wanaCCM wenzangu na Watia Nia Wengine Pale Kigamboni Waniruhusu Niwabague Katika Maombi Yetu Haya..........
Nitawabagua kwa kuwa NITAMUOMBEA PAUL MAKONDA PEKE YAKE.....

Kvp?

Ninataraji Mwenyezi Mungu Atatujibia Maombi Yetu Kwa Kumfanya Paulo Makonda Awe Mgombea No.1 Wa Ubunge Pale Kigamboni Akiiepeperusha Bendera ya CCM aaamin.

Nikiwaangalia wakuu wa mikoani wote Tanzania,hakika Paulo Makonda alikuwa Mkuu Wa MKOA Mwenye Viwango Vikubwa Aliyetutendea Mengi Mazuri Wakazi Wa Jiji Hili.

Hakika ni MENGI Na Hayahesabiki....

Eee Mwenyezi Mungu Mbariki Na Umuinue Mja Wako Makonda Katika Safari Ya NDOTO ZAKE aaaamin aaaaaamin[emoji2969][emoji2969][emoji2969][emoji2969][emoji2969]

Kwa Maana kila binadamu MKAMILIFU ana NDOTO.....
Unaweza kumpa ata tako
 
Tumeshamaliza Maombi na Bwana Wa Majeshi Anakwenda Kumtendea MIUJIZA comrade El Commandante Makonda,aaaamen aaaamen.

I don't see Him Being Voted Out As Makonda Is Visionary,talented,charismatic and a really zealout of Tanzania.
Unaweza kumpa ata tako
Asante Sana Mkuu Wangu Kurlzawa,Mungu akubariki aaamin.
 
Back
Top Bottom