jitombashisho
JF-Expert Member
- Jun 11, 2020
- 667
- 2,245
😠😠Gwajima na makonda wanakula panga. Hakuna atakayeamini.
Comment yangu itarejewa
Ohhh kesho ndio genge la mchwa wanateuliana.Unaweza kusema kesho mtoto hatumwi dukani!
Kura za maoni za kuteuliwa kugombea nafasi za Ubunge ndani ya CCM ni kesho kwa hakika macho na masikio Watanzania yataekekezwa kwenye zoezi hilo muhimu ndani ya Nchi!
Kuanzia Ugunja hadi Nyasa kesho hatumwi mtoto dukani.
Macho yataelekezwa zaidi kwenye majimbo mawili Kawe na Kigamboni maana huko ndipo SHOKA ILIUNGUA AJABU MPINI UKABAKI!
Ama kweli usiku wa deni....!
Labda maombi ya kumfanya asichaguliwe...makonda hapendwi kha nnHapa Nimemuambia Mke Wangu Tufanye Maombi special kwa AJILI ya ndugu Makonda.....
Kwa Mapenzi Yetu Binafsi Juu Ya Comrade Paul Makonda Ninaomba wanaCCM wenzangu na Watia Nia Wengine Pale Kigamboni Waniruhusu Niwabague Katika Maombi Yetu Haya..........
Nitawabagua kwa kuwa NITAMUOMBEA PAUL MAKONDA PEKE YAKE.....
Kvp?
Ninataraji Mwenyezi Mungu Atatujibia Maombi Yetu Kwa Kumfanya Paulo Makonda Awe Mgombea No.1 Wa Ubunge Pale Kigamboni Akiiepeperusha Bendera ya CCM aaamin.
Nikiwaangalia wakuu wa mikoani wote Tanzania,hakika Paulo Makonda alikuwa Mkuu Wa MKOA Mwenye Viwango Vikubwa Aliyetutendea Mengi Mazuri Wakazi Wa Jiji Hili.
Hakika ni MENGI Na Hayahesabiki....
Eee Mwenyezi Mungu Mbariki Na Umuinue Mja Wako Makonda Katika Safari Ya NDOTO ZAKE aaaamin aaaaaamin[emoji2969][emoji2969][emoji2969][emoji2969][emoji2969]
Kwa Maana kila binadamu MKAMILIFU ana NDOTO.....
Bila shaka wewe ndio Bashite. Hupenyi.Hapa Nimemuambia Mke Wangu Tufanye Maombi special kwa AJILI ya ndugu Makonda.....
Kwa Mapenzi Yetu Binafsi Juu Ya Comrade Paul Makonda Ninaomba wanaCCM wenzangu na Watia Nia Wengine Pale Kigamboni Waniruhusu Niwabague Katika Maombi Yetu Haya..........
Nitawabagua kwa kuwa NITAMUOMBEA PAUL MAKONDA PEKE YAKE.....
Kvp?
Ninataraji Mwenyezi Mungu Atatujibia Maombi Yetu Kwa Kumfanya Paulo Makonda Awe Mgombea No.1 Wa Ubunge Pale Kigamboni Akiiepeperusha Bendera ya CCM aaamin.
Nikiwaangalia wakuu wa mikoani wote Tanzania,hakika Paulo Makonda alikuwa Mkuu Wa MKOA Mwenye Viwango Vikubwa Aliyetutendea Mengi Mazuri Wakazi Wa Jiji Hili.
Hakika ni MENGI Na Hayahesabiki....
Eee Mwenyezi Mungu Mbariki Na Umuinue Mja Wako Makonda Katika Safari Ya NDOTO ZAKE aaaamin aaaaaamin🤲🤲🤲🤲🤲
Kwa Maana kila binadamu MKAMILIFU ana NDOTO.....
Mnapomchukia Nyinyi Mnataraji Na Mungu Nae Atamchukia?!!!Labda maombi ya kumfanya asichaguliwe...makonda hapendwi kha nn
Kipi si ni mkuu wa wilaya Moshi.Kawe atapita Kippi wariobya
Naihifadhi hiiGwajima na makonda wanakula panga. Hakuna atakayeamini.
Comment yangu itarejewa
Kipi hapitiKawe atapita Kippi wariobya
Bila shaka wewe ndio Bashite. Hupenyi.
tumewachoka wote hao.Unaweza kusema kesho mtoto hatumwi dukani!
Kura za maoni za kuteuliwa kugombea nafasi za Ubunge ndani ya CCM ni kesho kwa hakika macho na masikio Watanzania yataekekezwa kwenye zoezi hilo muhimu ndani ya Nchi!
Kuanzia Ugunja hadi Nyasa kesho hatumwi mtoto dukani.
Macho yataelekezwa zaidi kwenye majimbo mawili Kawe na Kigamboni maana huko ndipo SHOKA ILIUNGUA AJABU MPINI UKABAKI!
Ama kweli usiku wa deni....!
Yaani wewe na mkeo??ndo maombi hayo??acha utani Mungu hataniwi weweHapa Nimemuambia Mke Wangu Tufanye Maombi special kwa AJILI ya ndugu Makonda.....
Kwa Mapenzi Yetu Binafsi Juu Ya Comrade Paul Makonda Ninaomba wanaCCM wenzangu na Watia Nia Wengine Pale Kigamboni Waniruhusu Niwabague Katika Maombi Yetu Haya..........
Nitawabagua kwa kuwa NITAMUOMBEA PAUL MAKONDA PEKE YAKE.....
Kvp?
Ninataraji Mwenyezi Mungu Atatujibia Maombi Yetu Kwa Kumfanya Paulo Makonda Awe Mgombea No.1 Wa Ubunge Pale Kigamboni Akiiepeperusha Bendera ya CCM aaamin.
Nikiwaangalia wakuu wa mikoani wote Tanzania,hakika Paulo Makonda alikuwa Mkuu Wa MKOA Mwenye Viwango Vikubwa Aliyetutendea Mengi Mazuri Wakazi Wa Jiji Hili.
Hakika ni MENGI Na Hayahesabiki....
Eee Mwenyezi Mungu Mbariki Na Umuinue Mja Wako Makonda Katika Safari Ya NDOTO ZAKE aaaamin aaaaaamin🤲🤲🤲🤲🤲
Kwa Maana kila binadamu MKAMILIFU ana NDOTO.....
Ohhh kesho ndio genge la mchwa wanateuliana.
All of them are bunch of thugs and hooligans.
Shameless national interest vandals.