Kesho Ngongo kumlipua Dkt. Bashiru

Mkuu awamu hii ulimwazima nani vitendea kazi kichwani?
Unavyoona ni kweli anamsagia Bashiru au anamuunga mkono?
Sawa mkuu ila Dr.Bashiru bado hajafunguliwa mashitaka yeyote wala kuhukumiwa na court of law, zote ni tuhuma tu...
 
Hata samia alikua mshiriki wa serikali hiyo tena kwa nafasi ya juu kuliko Bashiru, na yeye ana laana na atakoma?
Inaweza kuwa laana kweli, we angalia toka ashike nchi ni mwendo wa visingizio tu mara athari za kovid mara vita Ukrane mara ukame.
 
Dr Bashiru atupishe kwanza umeme kila kona na wala haukatiki
Maji ndo yanamwagika kila mahali watu wanaoga mara kumi kumi kwa siku. Zile foleni za ndoo huoni tena toka mama ameingia. Yote haya Bashiru hayaoni ?
 
Alafu Kuna mjuaji mmoja nayeye umuunganishe kumtandika makombora tena yeye mmiminie mizinga 21 Kisha umbomolee mbali, eti alisema nchi inakopa sana, wakampa adhabu ndogo kumvua uspika. Inamaana haoni kabisa haya maendeleo na ustawi wa huduma za jamii? Bei safi, ajira bwerere, umeme hadi unamwagika, maji tunaoshea na kudeki barabara kupunguza vumbi...
 
Unaweza kukuta mtoa maada ana matatizo ya akili sema hajijui, na unaweza kukuta hana hata pesa yupoyupo tu duniani na hajielewi
Au pia unaweza kuta wewe akili yako imeshindwa kuisoma akili ya mtoa mada sababu IQ ya mtoa mada iko juu kuliko IQ yako hivyo codes alizotumia zimekupita kushoto.
 
Relax mkuu mara Dr.Bashiru ni mrundi (ndio zenu kuwapa watu kesi za uraia wanapoongea tofauti),mara ni sukuma Gang!sasa nashindwa kukuelewa mkuu, jibu hoja za Dr.Bashiru kwa hoja zilizo bora zaidi, acha vitisho na uzuzu
We shuleni fasihi ilikupita pembeni
 
Relax mkuu mara Dr.Bashiru ni mrundi (ndio zenu kuwapa watu kesi za uraia wanapoongea tofauti),mara ni sukuma Gang!sasa nashindwa kukuelewa mkuu, jibu hoja za Dr.Bashiru kwa hoja zilizo bora zaidi, acha vitisho na uzuzu
Bashiru ni msafi? aliua watu wangapi na biashara yake ya ubunge?
 
Relax mkuu mara Dr.Bashiru ni mrundi (ndio zenu kuwapa watu kesi za uraia wanapoongea tofauti),mara ni sukuma Gang!sasa nashindwa kukuelewa mkuu, jibu hoja za Dr.Bashiru kwa hoja zilizo bora zaidi, acha vitisho na uzuzu
Umemuerewa Dr. Ngongo ??
 
Unaweza kukuta mtoa maada ana matatizo ya akili sema hajijui, na unaweza kukuta hana hata pesa yupoyupo tu duniani na hajielewi
Usikute wasifu wa mleta mada unaosema unao wewe mwenyewe
 
BASHIRU NDIO ANAMJENGA MAMA, NDIO WAJIBU WAKE MAMA, NDIO KAZI ANAYOAJILIWA NAYO, SASA WASOMI WAPUMBAFU WAO MDA WAOTE WAKO KWENYE MAPAMBIO YA KUSIFU NA KULAMBA ASALI, HAIKO HIVYO NYIE WASOMI UCHWARA
 
Dr. Ngongo kawpata wengi kama April Mosi vile hadi raha
 
Relax mkuu mara Dr.Bashiru ni mrundi (ndio zenu kuwapa watu kesi za uraia wanapoongea tofauti),mara ni sukuma Gang!sasa nashindwa kukuelewa mkuu, jibu hoja za Dr.Bashiru kwa hoja zilizo bora zaidi, acha vitisho na uzuzu
Ironically presented rudia kusoma na this time concentrate vizuri
 
Huko kwenu kuna umeme?,huku kwetu kila siku umeme kutwa nzimq hatunq mpaka saa 2 usiku
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…