Leak
JF-Expert Member
- Feb 22, 2012
- 52,916
- 43,505
Ng'ombe kama hii eti ndio think tank ya ccm.[emoji706]..mbona ccm inajiaibisha hivi.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hujamuelewa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ng'ombe kama hii eti ndio think tank ya ccm.[emoji706]..mbona ccm inajiaibisha hivi.
Sawa mkuu ila Dr.Bashiru bado hajafunguliwa mashitaka yeyote wala kuhukumiwa na court of law, zote ni tuhuma tu...Mkuu awamu hii ulimwazima nani vitendea kazi kichwani?
Unavyoona ni kweli anamsagia Bashiru au anamuunga mkono?
Inaweza kuwa laana kweli, we angalia toka ashike nchi ni mwendo wa visingizio tu mara athari za kovid mara vita Ukrane mara ukame.Hata samia alikua mshiriki wa serikali hiyo tena kwa nafasi ya juu kuliko Bashiru, na yeye ana laana na atakoma?
Maji ndo yanamwagika kila mahali watu wanaoga mara kumi kumi kwa siku. Zile foleni za ndoo huoni tena toka mama ameingia. Yote haya Bashiru hayaoni ?Dr Bashiru atupishe kwanza umeme kila kona na wala haukatiki
Au pia unaweza kuta wewe akili yako imeshindwa kuisoma akili ya mtoa mada sababu IQ ya mtoa mada iko juu kuliko IQ yako hivyo codes alizotumia zimekupita kushoto.Unaweza kukuta mtoa maada ana matatizo ya akili sema hajijui, na unaweza kukuta hana hata pesa yupoyupo tu duniani na hajielewi
Kazi kwelikweliInaweza kuwa laana kweli, we angalia toka ashike nchi ni mwendo wa visingizio tu mara athari za kovid mara vita Ukrane mara ukame.
We shuleni fasihi ilikupita pembeniRelax mkuu mara Dr.Bashiru ni mrundi (ndio zenu kuwapa watu kesi za uraia wanapoongea tofauti),mara ni sukuma Gang!sasa nashindwa kukuelewa mkuu, jibu hoja za Dr.Bashiru kwa hoja zilizo bora zaidi, acha vitisho na uzuzu
Bashiru ni msafi? aliua watu wangapi na biashara yake ya ubunge?Relax mkuu mara Dr.Bashiru ni mrundi (ndio zenu kuwapa watu kesi za uraia wanapoongea tofauti),mara ni sukuma Gang!sasa nashindwa kukuelewa mkuu, jibu hoja za Dr.Bashiru kwa hoja zilizo bora zaidi, acha vitisho na uzuzu
Umemuerewa Dr. Ngongo ??Relax mkuu mara Dr.Bashiru ni mrundi (ndio zenu kuwapa watu kesi za uraia wanapoongea tofauti),mara ni sukuma Gang!sasa nashindwa kukuelewa mkuu, jibu hoja za Dr.Bashiru kwa hoja zilizo bora zaidi, acha vitisho na uzuzu
Kama hujaelewa basi wewe ndiye miyesho mwenyeweKama huu ni mwandiko wa dokta basi acha niishie hapa hapa udokta miyeyusho
Usikute wasifu wa mleta mada unaosema unao wewe mwenyeweUnaweza kukuta mtoa maada ana matatizo ya akili sema hajijui, na unaweza kukuta hana hata pesa yupoyupo tu duniani na hajielewi
BASHIRU NDIO ANAMJENGA MAMA, NDIO WAJIBU WAKE MAMA, NDIO KAZI ANAYOAJILIWA NAYO, SASA WASOMI WAPUMBAFU WAO MDA WAOTE WAKO KWENYE MAPAMBIO YA KUSIFU NA KULAMBA ASALI, HAIKO HIVYO NYIE WASOMI UCHWARAWakuu heshima mbele,
Kesho Dr Ngongo ataongoza mashambulizi ya nguvu kama yale makombora Himar na kumsambaratisha Dr Bashiru.
Dr Bashiru ni mjinga sana haoni Mama anavyoupiga mwingi huduma za maji zipo vizuri. Maji yapo wala wala hadi mikambare inazaliana hovyo hovyo huku mitaani kwetu.
Umeme upo kila mahali tena tuna megawatts za ziada hatujui pa kuzipeleka labda Zambia au Burundi wakihitaji tutawapatia bure.
Dr Bashiru ni Mrundi asitubabaishe uchumi wetu unakua hadi tumeingia uchumi wa kati juu.Kama hamtaki waulize WB & IMF watawajuza.
Dr Bashiru ni Team Sukuma Gang tumetatua kero zote za Muungano ina maana yeye haoni. Siku hizi ajira zimetengwa kwaajili ya Zanzibar wa Tanganyika wameridhika au ulitaka tutenge ajira za waRundi wenzako tupishe tutakusagasaga tunaupiga mwingi.
Dr Bashiru ni CUF atuachie chama chetu pendwa.
Dr Ngongo mlamba asali mwandamizi.
Dr. Ngongo kawpata wengi kama April Mosi vile hadi rahaChama kilichojimilikisha dola kinapogeuka kuwa cha wanaharakati wa kushindana kusifu na kuabudu, badala ya kuzidi kujijenga kama taasisi imara. Mtu mzima anajitoa akili na kuanza kusifu huduma bora za umeme na maji ambazo kiuhalisia wala hazipo.
Eti nchi ipo uchumi wa kati!? Yaani mtu anasifu mpaka anaonekana kama juha. Kuwa na kundi hili la machawa hakuwezi kumsaidia Rais kitu chochote kile zaidi ya kuzidi kumchora pale akiboronga.
Constructive criticisms ni nzuri sana katika kufanya madaliko chanya, hasa zitolewapo na mtu makini na mzoefu kariba ya Dkt. Bushiri. Lazima wana CCM wajikite kwenye hoja zake ilizozitoa badala kuonyesha kejeli, matusi na utovu wa nidhamu kwa aliyekuwa KM Taifa wa chama chao.
Sent using Jamii Forums mobile app
Haswa nimemuelewa mkuu, fasihi hii mkuuUmemuerewa Dr. Ngongo ??
Ironically presented rudia kusoma na this time concentrate vizuriRelax mkuu mara Dr.Bashiru ni mrundi (ndio zenu kuwapa watu kesi za uraia wanapoongea tofauti),mara ni sukuma Gang!sasa nashindwa kukuelewa mkuu, jibu hoja za Dr.Bashiru kwa hoja zilizo bora zaidi, acha vitisho na uzuzu
Huko kwenu kuna umeme?,huku kwetu kila siku umeme kutwa nzimq hatunq mpaka saa 2 usikuWakuu heshima mbele,
Kesho Dr Ngongo ataongoza mashambulizi ya nguvu kama yale makombora Himar na kumsambaratisha Dr Bashiru.
Dr Bashiru ni mjinga sana haoni Mama anavyoupiga mwingi huduma za maji zipo vizuri. Maji yapo wala wala hadi mikambare inazaliana hovyo hovyo huku mitaani kwetu.
Umeme upo kila mahali tena tuna megawatts za ziada hatujui pa kuzipeleka labda Zambia au Burundi wakihitaji tutawapatia bure.
Dr Bashiru ni Mrundi asitubabaishe uchumi wetu unakua hadi tumeingia uchumi wa kati juu.Kama hamtaki waulize WB & IMF watawajuza.
Dr Bashiru ni Team Sukuma Gang tumetatua kero zote za Muungano ina maana yeye haoni. Siku hizi ajira zimetengwa kwaajili ya Zanzibar wa Tanganyika wameridhika au ulitaka tutenge ajira za waRundi wenzako tupishe tutakusagasaga tunaupiga mwingi.
Dr Bashiru ni CUF atuachie chama chetu pendwa.
Dr Ngongo mlamba asali mwandamizi.
Nimemuelewa mkuu ahsante sana kwa ushauri wako, apologyIronically presented rudia kusoma na this time concentrate vizuri