Kesho Ngongo kumlipua Dkt. Bashiru

Kesho Ngongo kumlipua Dkt. Bashiru

Mkuu awamu hii ulimwazima nani vitendea kazi kichwani?
Unavyoona ni kweli anamsagia Bashiru au anamuunga mkono?
Sawa mkuu ila Dr.Bashiru bado hajafunguliwa mashitaka yeyote wala kuhukumiwa na court of law, zote ni tuhuma tu...
 
Hata samia alikua mshiriki wa serikali hiyo tena kwa nafasi ya juu kuliko Bashiru, na yeye ana laana na atakoma?
Inaweza kuwa laana kweli, we angalia toka ashike nchi ni mwendo wa visingizio tu mara athari za kovid mara vita Ukrane mara ukame.
 
Dr Bashiru atupishe kwanza umeme kila kona na wala haukatiki
Maji ndo yanamwagika kila mahali watu wanaoga mara kumi kumi kwa siku. Zile foleni za ndoo huoni tena toka mama ameingia. Yote haya Bashiru hayaoni ?
 
Alafu Kuna mjuaji mmoja nayeye umuunganishe kumtandika makombora tena yeye mmiminie mizinga 21 Kisha umbomolee mbali, eti alisema nchi inakopa sana, wakampa adhabu ndogo kumvua uspika. Inamaana haoni kabisa haya maendeleo na ustawi wa huduma za jamii? Bei safi, ajira bwerere, umeme hadi unamwagika, maji tunaoshea na kudeki barabara kupunguza vumbi...
 
Unaweza kukuta mtoa maada ana matatizo ya akili sema hajijui, na unaweza kukuta hana hata pesa yupoyupo tu duniani na hajielewi
Au pia unaweza kuta wewe akili yako imeshindwa kuisoma akili ya mtoa mada sababu IQ ya mtoa mada iko juu kuliko IQ yako hivyo codes alizotumia zimekupita kushoto.
 
Relax mkuu mara Dr.Bashiru ni mrundi (ndio zenu kuwapa watu kesi za uraia wanapoongea tofauti),mara ni sukuma Gang!sasa nashindwa kukuelewa mkuu, jibu hoja za Dr.Bashiru kwa hoja zilizo bora zaidi, acha vitisho na uzuzu
We shuleni fasihi ilikupita pembeni
 
Relax mkuu mara Dr.Bashiru ni mrundi (ndio zenu kuwapa watu kesi za uraia wanapoongea tofauti),mara ni sukuma Gang!sasa nashindwa kukuelewa mkuu, jibu hoja za Dr.Bashiru kwa hoja zilizo bora zaidi, acha vitisho na uzuzu
Bashiru ni msafi? aliua watu wangapi na biashara yake ya ubunge?
 
Relax mkuu mara Dr.Bashiru ni mrundi (ndio zenu kuwapa watu kesi za uraia wanapoongea tofauti),mara ni sukuma Gang!sasa nashindwa kukuelewa mkuu, jibu hoja za Dr.Bashiru kwa hoja zilizo bora zaidi, acha vitisho na uzuzu
Umemuerewa Dr. Ngongo ??
 
Wakuu heshima mbele,

Kesho Dr Ngongo ataongoza mashambulizi ya nguvu kama yale makombora Himar na kumsambaratisha Dr Bashiru.

Dr Bashiru ni mjinga sana haoni Mama anavyoupiga mwingi huduma za maji zipo vizuri. Maji yapo wala wala hadi mikambare inazaliana hovyo hovyo huku mitaani kwetu.

Umeme upo kila mahali tena tuna megawatts za ziada hatujui pa kuzipeleka labda Zambia au Burundi wakihitaji tutawapatia bure.

Dr Bashiru ni Mrundi asitubabaishe uchumi wetu unakua hadi tumeingia uchumi wa kati juu.Kama hamtaki waulize WB & IMF watawajuza.

Dr Bashiru ni Team Sukuma Gang tumetatua kero zote za Muungano ina maana yeye haoni. Siku hizi ajira zimetengwa kwaajili ya Zanzibar wa Tanganyika wameridhika au ulitaka tutenge ajira za waRundi wenzako tupishe tutakusagasaga tunaupiga mwingi.

Dr Bashiru ni CUF atuachie chama chetu pendwa.

Dr Ngongo mlamba asali mwandamizi.
BASHIRU NDIO ANAMJENGA MAMA, NDIO WAJIBU WAKE MAMA, NDIO KAZI ANAYOAJILIWA NAYO, SASA WASOMI WAPUMBAFU WAO MDA WAOTE WAKO KWENYE MAPAMBIO YA KUSIFU NA KULAMBA ASALI, HAIKO HIVYO NYIE WASOMI UCHWARA
 
Chama kilichojimilikisha dola kinapogeuka kuwa cha wanaharakati wa kushindana kusifu na kuabudu, badala ya kuzidi kujijenga kama taasisi imara. Mtu mzima anajitoa akili na kuanza kusifu huduma bora za umeme na maji ambazo kiuhalisia wala hazipo.

Eti nchi ipo uchumi wa kati!? Yaani mtu anasifu mpaka anaonekana kama juha. Kuwa na kundi hili la machawa hakuwezi kumsaidia Rais kitu chochote kile zaidi ya kuzidi kumchora pale akiboronga.

Constructive criticisms ni nzuri sana katika kufanya madaliko chanya, hasa zitolewapo na mtu makini na mzoefu kariba ya Dkt. Bushiri. Lazima wana CCM wajikite kwenye hoja zake ilizozitoa badala kuonyesha kejeli, matusi na utovu wa nidhamu kwa aliyekuwa KM Taifa wa chama chao.

Sent using Jamii Forums mobile app
Dr. Ngongo kawpata wengi kama April Mosi vile hadi raha
 
Relax mkuu mara Dr.Bashiru ni mrundi (ndio zenu kuwapa watu kesi za uraia wanapoongea tofauti),mara ni sukuma Gang!sasa nashindwa kukuelewa mkuu, jibu hoja za Dr.Bashiru kwa hoja zilizo bora zaidi, acha vitisho na uzuzu
Ironically presented rudia kusoma na this time concentrate vizuri
 
Wakuu heshima mbele,

Kesho Dr Ngongo ataongoza mashambulizi ya nguvu kama yale makombora Himar na kumsambaratisha Dr Bashiru.

Dr Bashiru ni mjinga sana haoni Mama anavyoupiga mwingi huduma za maji zipo vizuri. Maji yapo wala wala hadi mikambare inazaliana hovyo hovyo huku mitaani kwetu.

Umeme upo kila mahali tena tuna megawatts za ziada hatujui pa kuzipeleka labda Zambia au Burundi wakihitaji tutawapatia bure.

Dr Bashiru ni Mrundi asitubabaishe uchumi wetu unakua hadi tumeingia uchumi wa kati juu.Kama hamtaki waulize WB & IMF watawajuza.

Dr Bashiru ni Team Sukuma Gang tumetatua kero zote za Muungano ina maana yeye haoni. Siku hizi ajira zimetengwa kwaajili ya Zanzibar wa Tanganyika wameridhika au ulitaka tutenge ajira za waRundi wenzako tupishe tutakusagasaga tunaupiga mwingi.

Dr Bashiru ni CUF atuachie chama chetu pendwa.

Dr Ngongo mlamba asali mwandamizi.
Huko kwenu kuna umeme?,huku kwetu kila siku umeme kutwa nzimq hatunq mpaka saa 2 usiku
 
Back
Top Bottom