Kesho Ngongo kumlipua Dkt. Bashiru

Naseka mpaga nigasha hipanda.
 
Mtu akikumbatia maji kama jiwe atakuwa anamatumizi mabaya ya akili, acha inyeshe tuone inapovuja...!
 
Vipi doc. Ngongo ashakinukisha naona siku insisha😳
 
 

Attachments

  • 255675451173_status_b1f02161237d4f8397841a5eb21674c3.jpg
    45.5 KB · Views: 3
Relax mkuu mara Dr.Bashiru ni mrundi (ndio zenu kuwapa watu kesi za uraia wanapoongea tofauti),mara ni sukuma Gang!sasa nashindwa kukuelewa mkuu, jibu hoja za Dr.Bashiru kwa hoja zilizo bora zaidi, acha vitisho na uzuzu
Siends direct mkuu soma polepole utaelewa
 
Machawa katika ubora wenu wenye timamu tumeshawaelewa unabadili sana Id ile wewe ni chawa tu Dk bashiru keshawatia msumari mzito
 
Huna akili pimbi wewe,hayo maji unavyosema yako wap,naishi Dar Mloganzila sipati maji, umeme mgao ,unga juu, mchele juu hlf pumbavu hayawani unayeendeshwa kufikiri unakuja kutetea ujinga kisa unategemea kulishwa na hao wapuuz wenzio daaaah umenitibulia siku
 
Umemuerewa Ngongo?
 
Hii nchi ndio maana ni rahisi sana kuitawala, wengi hutumia vichwa vyao kufugia nywele badala ya kufikiri. Kama hujamuelewa mleta mada basi poa, haina noma
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…