Montserrat
JF-Expert Member
- Sep 9, 2011
- 10,938
- 14,745
Tangu lini inzi akatatua matatizo yake?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Naseka mpaga nigasha hipanda.Wakuu heshima mbele,
Kesho Dr Ngongo ataongoza mashambulizi ya nguvu kama yale makombora Himar na kumsambaratisha Dr Bashiru.
Dr Bashiru ni mjinga sana haoni Mama anavyoupiga mwingi huduma za maji zipo vizuri. Maji yapo wala wala hadi mikambare inazaliana hovyo hovyo huku mitaani kwetu.
Umeme upo kila mahali tena tuna megawatts za ziada hatujui pa kuzipeleka labda Zambia au Burundi wakihitaji tutawapatia bure.
Dr Bashiru ni Mrundi asitubabaishe uchumi wetu unakua hadi tumeingia uchumi wa kati juu.Kama hamtaki waulize WB & IMF watawajuza.
Dr Bashiru ni Team Sukuma Gang tumetatua kero zote za Muungano ina maana yeye haoni. Siku hizi ajira zimetengwa kwaajili ya Zanzibar wa Tanganyika wameridhika au ulitaka tutenge ajira za waRundi wenzako tupishe tutakusagasaga tunaupiga mwingi.
Dr Bashiru ni CUF atuachie chama chetu pendwa.
Dr Ngongo mlamba asali mwandamizi.
Mkuu,Umemuerewa Dr. Ngongo ??
Wakuu heshima mbele,

Siends direct mkuu soma polepole utaelewaRelax mkuu mara Dr.Bashiru ni mrundi (ndio zenu kuwapa watu kesi za uraia wanapoongea tofauti),mara ni sukuma Gang!sasa nashindwa kukuelewa mkuu, jibu hoja za Dr.Bashiru kwa hoja zilizo bora zaidi, acha vitisho na uzuzu
Machawa katika ubora wenu wenye timamu tumeshawaelewa unabadili sana Id ile wewe ni chawa tu Dk bashiru keshawatia msumari mzitoWakuu heshima mbele,
Kesho Dr Ngongo ataongoza mashambulizi ya nguvu kama yale makombora Himar na kumsambaratisha Dr Bashiru.
Dr Bashiru ni mjinga sana haoni Mama anavyoupiga mwingi huduma za maji zipo vizuri. Maji yapo wala wala hadi mikambare inazaliana hovyo hovyo huku mitaani kwetu.
Umeme upo kila mahali tena tuna megawatts za ziada hatujui pa kuzipeleka labda Zambia au Burundi wakihitaji tutawapatia bure.
Dr Bashiru ni Mrundi asitubabaishe uchumi wetu unakua hadi tumeingia uchumi wa kati juu.Kama hamtaki waulize WB & IMF watawajuza.
Dr Bashiru ni Team Sukuma Gang tumetatua kero zote za Muungano ina maana yeye haoni. Siku hizi ajira zimetengwa kwaajili ya Zanzibar wa Tanganyika wameridhika au ulitaka tutenge ajira za waRundi wenzako tupishe tutakusagasaga tunaupiga mwingi.
Dr Bashiru ni CUF atuachie chama chetu pendwa.
Dr Ngongo mlamba asali mwandamizi.
Mkuu,
Kupitia huu uzi nimegundua vilaza wengi sana humu JF. Yaan mleta mada kawachenga kidogo tu wakajaa mazima.
Huna akili pimbi wewe,hayo maji unavyosema yako wap,naishi Dar Mloganzila sipati maji, umeme mgao ,unga juu, mchele juu hlf pumbavu hayawani unayeendeshwa kufikiri unakuja kutetea ujinga kisa unategemea kulishwa na hao wapuuz wenzio daaaah umenitibulia sikuWakuu heshima mbele,
Kesho Dr Ngongo ataongoza mashambulizi ya nguvu kama yale makombora Himar na kumsambaratisha Dr Bashiru.
Dr Bashiru ni mjinga sana haoni Mama anavyoupiga mwingi huduma za maji zipo vizuri. Maji yapo wala wala hadi mikambare inazaliana hovyo hovyo huku mitaani kwetu.
Umeme upo kila mahali tena tuna megawatts za ziada hatujui pa kuzipeleka labda Zambia au Burundi wakihitaji tutawapatia bure.
Dr Bashiru ni Mrundi asitubabaishe uchumi wetu unakua hadi tumeingia uchumi wa kati juu.Kama hamtaki waulize WB & IMF watawajuza.
Dr Bashiru ni Team Sukuma Gang tumetatua kero zote za Muungano ina maana yeye haoni. Siku hizi ajira zimetengwa kwaajili ya Zanzibar wa Tanganyika wameridhika au ulitaka tutenge ajira za waRundi wenzako tupishe tutakusagasaga tunaupiga mwingi.
Dr Bashiru ni CUF atuachie chama chetu pendwa.
Dr Ngongo mlamba asali mwandamizi.
Umemuerewa Ngongo?Huna akili pimbi wewe,hayo maji unavyosema yako wap,naishi Dar Mloganzila sipati maji, umeme mgao ,unga juu, mchele juu hlf pumbavu hayawani unayeendeshwa kufikiri unakuja kutetea ujinga kisa unategemea kulishwa na hao wapuuz wenzio daaaah umenitibulia siku
Hii nchi ndio maana ni rahisi sana kuitawala, wengi hutumia vichwa vyao kufugia nywele badala ya kufikiri. Kama hujamuelewa mleta mada basi poa, haina nomaHuna akili pimbi wewe,hayo maji unavyosema yako wap,naishi Dar Mloganzila sipati maji, umeme mgao ,unga juu, mchele juu hlf pumbavu hayawani unayeendeshwa kufikiri unakuja kutetea ujinga kisa unategemea kulishwa na hao wapuuz wenzio daaaah umenitibulia siku