Kesho ni kufa na kupona uwanja wa Mkapa, tuhamishie waganga wote wa jadi uwanja wa Taifa ili tusidhalilike

Daa! Inasikitisha sana. Kwamba karne hii ya 21 bado mnategemea uchawi na ulozi kwenye soka?
 
Sita apewe Ibrahim ame wa mashujaa asaidie kumkaba yule striker wao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…